Swali la kizushi - Je Pesa za TFF zinazodaiwa kupigwa na Malinzi ni Mali ya Umma ?

Kwani utawala huu una nini ? Kwa taarifa yako wale wote waliotumbuliwa bandarini akiwemo Pedesheee Masamaki watashinda kesi asubuhi na mapema .
 
Kwani utawala huu una nini ? Kwa taarifa yako wale wote waliotumbuliwa bandarini akiwemo Pedesheee Masamaki watashinda kesi asubuhi na mapema .
Mkuu kesi za siku hizi hua zina "Maelekezo Kutoka Juu", hakuna jaji asiejipenda wala kupenda kibarua chake
 
FIFA wanaruhusu ufisadi?
 
Inafika mahali sasa sitaki kuamnin kwamba kuna mtu anazuiya uchaguz na kwann tiftif wanakuwa iviii tupen mpira wetu
 
fifa wametoa pesa kwa maendeleo ya soka TZ Sio kwa Malinzi kama ilikuwa yake wangeingiza kwenye ac yake. Amefanya makosa wacha akae
 
fifa wametoa pesa kwa maendeleo ya soka TZ Sio kwa Malinzi kama ilikuwa yake wangeingiza kwenye ac yake. Amefanya makosa wacha akae
Una uhakika kama tuhuma za Malinzi ni za kweli ?
 
Sorry mkuu sikupata iyo habari.
Uyo jamas ilikuaje kuaje
 
Nadhani unapaswa kwanza kujua nini maana ya "uma"

Serikali kutoingilia masuala ya soka... je wizi ni suala la soka?

Uhalifu ni uhalifu tu. Au kwamfano Malinzi angefanya mauaji angeachwa kwakuwa FIFA imekataza serikali kutoingilia masuala ya soka?
Duu. High reasoning kweli kweli
 
Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu,
Maana kuna watu humu wanamtetea Malinzi utadhani wna undugu nae
Mkuu hatumtetei Malinzi ( nifuatilie vizuri ) , nimeweka uzi huu kwa mpango maalum
 
Nadhani unapaswa kwanza kujua nini maana ya "uma"

Serikali kutoingilia masuala ya soka... je wizi ni suala la soka?

Uhalifu ni uhalifu tu. Au kwamfano Malinzi angefanya mauaji angeachwa kwakuwa FIFA imekataza serikali kutoingilia masuala ya soka?
Mkuu Malinzi ni rais km JPM ila tofauti ni kwamba hana kinga ya kushtakiwa so muache aisome namba.
 
Hao wamezoea kula pesa za TFF,kama yule Frank Wanjiru kakimbia kabisa baada ya boss wake kuwekwa ndani.
Tetesi zinaonyesha kwamba Frank Wanjiru ni komandoo anayenufaika na kukaa mlangoni kwenye mechi za ligi kuu .
 
Amah! kumbe ni halali kula pesa za FIFA?
 
Yaani kweli wewe ni mtupu, ela mpaka zitolewe na serikali ndio ziwe za umma.
Kwani TFF ni mali ya nani? Kama sio ya serikali ya Tanzania inayoshughulikia soka la TZ
Kama ni ya serikali basi kila kiingiacho ni cha serikali ya TZ kwa ajili ya soka letu.
Huwezi kula kula wala kubadilisha matumizi ya TFF bila kufuata masharti au kanuni zilizowekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…