Swali la kizushi - Je Pesa za TFF zinazodaiwa kupigwa na Malinzi ni Mali ya Umma ?

Sheria ya kutakatisha fedha haisemi kwamba fedha lazima ziwe za umma
 
Sorry mkuu sikupata iyo habari.
Uyo jamas ilikuaje kuaje
Kijana alivunjika wakati akicheza Serengeti Boys akarudishwa Bongo na akatelekezwa na TFF bila kupatiwa huduma zozote zile za matibabu mpaka alipotembelewa na Waziri wa Michezo na kukutwa akiwa mpweke akihudumiwa na familia yake.
 
Ni za umma kwa sababu TFF sio kampuni binafsi.
 
Eti!!! CAG alikagua hela ya mtu binafsi na ile pesa matokeo yake ikapigwa na watu haohao binafsi kwani leo wako wapi

Basi hata pesa ya tifutifu tuchukulie ni kama za watu binafsi ko kuzipiga akina mali hizi nipoa tu.
 
Kwanza tujiulize mali ya umma ni nini? Mpira ni jambo la umma
 
Sheria ya kutakatisha fedha haisemi kwamba fedha lazima ziwe za umma
Unajua sasa hivi wakitaka kukumaliza wanakuletea mambo ya kutakatisha pesa ili ukose dhamana , usiamini sana hizi makitu mjomba , ngoja kwanza tuone .
 
Unajua sasa hivi wakitaka kukumaliza wanakuletea mambo ya kutakatisha pesa ili ukose dhamana , usiamini sana hizi makitu mjomba , ngoja kwanza tuone .
Sijawahi kumkubali Malinzi kuwa kiongozi wa soka tangu zamani jamaa ni mpiga dili tu (Malinzi,Kaburu) wamefaidika sana na soka la Tanzania
 
PESA ZA OKWI N MALI YA UMMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…