Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Bishanga = Frank Wanjiru = Jamal MalinziTetesi zinaonyesha kwamba Frank Wanjiru ni komandoo anayenufaika na kukaa mlangoni kwenye mechi za ligi kuu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bishanga = Frank Wanjiru = Jamal MalinziTetesi zinaonyesha kwamba Frank Wanjiru ni komandoo anayenufaika na kukaa mlangoni kwenye mechi za ligi kuu .
Kijana alivunjika wakati akicheza Serengeti Boys akarudishwa Bongo na akatelekezwa na TFF bila kupatiwa huduma zozote zile za matibabu mpaka alipotembelewa na Waziri wa Michezo na kukutwa akiwa mpweke akihudumiwa na familia yake.Sorry mkuu sikupata iyo habari.
Uyo jamas ilikuaje kuaje
Ni za umma kwa sababu TFF sio kampuni binafsi.Nimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi .
Kuna fungu lolote kutoka serikalini linatengwa na kuingizwa kwenye akaunti ya TFF ? Nakumbuka wakati wa FAT ya Muhidin Ndolanga , FIFA ilipiga Marufuku kwa serikali kuingilia masuala ya soka , sasa siku hizi FIFA wamebadili msimamo wao ?
Je hela zile ni za Umma ama ni mchango wa FIFA kwa TFF ?
.....................................................
UPDATES
FIFA yaingilia kati , ambapo imetuma ujumbe kuja kufuatilia sakata hilo , inatarajiwa Jumanne ijayo kutafanyika kikao kati ya wajumbe wa FIFA na viongozi wa TFF walionusurika .
Unajua sasa hivi wakitaka kukumaliza wanakuletea mambo ya kutakatisha pesa ili ukose dhamana , usiamini sana hizi makitu mjomba , ngoja kwanza tuone .Sheria ya kutakatisha fedha haisemi kwamba fedha lazima ziwe za umma
Sijawahi kumkubali Malinzi kuwa kiongozi wa soka tangu zamani jamaa ni mpiga dili tu (Malinzi,Kaburu) wamefaidika sana na soka la TanzaniaUnajua sasa hivi wakitaka kukumaliza wanakuletea mambo ya kutakatisha pesa ili ukose dhamana , usiamini sana hizi makitu mjomba , ngoja kwanza tuone .
PESA ZA OKWI N MALI YA UMMANimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi .