Kanisani kuna mafunzo mengi tu mazuri. Na utapeli wa hali ambayo haijafikiwa pengine popote.
Nikiwa katika mood au sababu ya kujumuika na watu, naweza kwenda si kanisani tu, bali hata kwenye ma temple ya dini nyingine.Nimejifunza umuhimu wa kuhoji kutoka kwa Socrates as much as nilivyojifunza kutoka kwa Lord Buddha. Nimejifunza kwamba majibu ya ukristo hayatoshelezi kutoka kwa Thomas Aquinas, St. Augustine na Anselm. Nikijaliwa kuingia kanisani nikakuta mhubiri/ mchungaji aliyesoma hawa waandishi wa classics na kuwatumia katika mahubiri yake mahubiri yanakuwa as much kuhusu dini as kuhusu philosophy na theology.
Nitachukua mazuri na kuacha mabaya. Na of course kuangalia maktaba zao na ikiwezekana kumuomba mchungaji tupate one on one.
Kujifunza ni rahisi zaidi kama unachanganyika na watu usiokubaliana nao kuliko unaokubaliana nao.
Miye si atheist anayechukia dini moja kwa moja, naiona dini kama mtumbwi uliotuvusha mto wa ujinga, sasa hatuna haja na mtumbwi huu kwa sababu tushavuka mto wa ujinga lakini tunaendelea kuubeba, unakuwa mzigo usio wa lazima.
Tukibakia huko huko kanisani,
vipi linapokuja swala la kusali baadhi ya sala kwa sauti au kufanya ishara ya msalabu, huwa unafanya?
Kama ndiyo unajisikiaje au hufanyi toka moyoni?
Naamini uwepo wa MUNGU kutokana na uwepo wa maovu ya shetani.
Naamini na sijuiUnaamini au unajua?
Naamini na sijui
Unaamini au unajua?
Menzio kaandika anaamini halafu wewe unamuuliza tena kama anaamini au anajua!!
Unaamini kuwa kuna vitendo viovu?(kuna maovu)?Unaruhusiwa kuamini chochote. Kujua hakuna ruhusa hiyo.
Mie nimezaliwa katika familia ya Kikristo.Protestants. Na hata nilipokuwa mdogo, wakati bado nilipokuwa naamini, kuna mara nilikuwa naenda kanisani kwa rafiki zangu Catholics.The church here started to function as a social club very early in my life.
Kwetu hakuna ishara ya msalaba. Nilipokuwa naenda kusali kanisani kwa rafiki zangu Catholic walipokuwa wanafanya ishara ya msalaba mimi sikufanya, kwa sababu si kitu ambacho nimezoea/ najua kufanya.
Sikujisikia vibaya kwa sababu sikufanya out of disrespect.
Na hata nikiamua kufanya sala/ ishara ya msalaba leo, sitaona vibaya kwamba haitoki moyoni.
Unapokuwa katikati ya mchezo wa kuigiza huwezi kujisikia vibaya kwamba unacheza mchezo wa kuigiza na lines hazitoki moyoni.
Sala kanisani ni mchezo wa kuigiza. Tunaigiza kama kuna mungu anayejali na kutusikia wakati mostly tunajua hizi ni habari za kujifariji kisaikolojia tu.
And another thing, the whole "kutoka moyoni" thing is a medieval ruse. Unless you want to invoke metaphorical poetry. Moyo una pump damu, haufikirii. And the intellect may very well decide to play along with the church charade in a funeral for example, simply out of respect.
Dah!
Kwahiyo wakati wenzako wako serious, we unaona maigizo tu!
Si mchezo.
Hiyo kutoka moyoni nilitaka kumaanisha "to feel what you are doing".
By the way kuna scholars wanaamini it's the heart which creates feelings from the magnect forces originated by it(the heart), depending on the thoughts we have.
Unaamini kuwa kuna vitendo viovu?(kuna maovu)?
'Faith starts where reasoning ends'.
Tafakari.