Swali la kizushi kwa Kiranga.

Swali la kizushi kwa Kiranga.

Hajui kuna watu huwa wanachomwa na majivu kumwagwa majini (baharini, bwawani, mtoni).

Na wengine washatengeneza mafriji ya kuwahifadhi majumbani mwao mpaka hapo sayansi itakapoweza kujua kwa uhakika kama wanaweza kuhuishwa tena ama la!

This is the level of parochialism we have to confront here!
 
Siamini katika kuamini chochote.

Nimeelezea kirefu juu hapa. Perhaps your comprehension level is wanting.

Andika lugha tunayoielewa wote.
Ivi we ukinizidi hoja afu nijitetee kwa kuandika kiluga chetu ndo ntaonekana mjanja sana?
 
Andika lugha tunayoielewa wote.
Ivi we ukinizidi hoja afu nijitetee kwa kuandika kiluga chetu ndo ntaonekana mjanja sana?

Kwa hiyo tatizo ni wewe kutojua kiingereza cha ESL?

Inawezekana kabisa unahitaji kujifunza Kiingereza kabla ya kujua maswali ya kumuhoji Kiranga.

Mengine hayajaandikwa katika Kiswahili bado.
 
Na wengine washatengeneza mafriji ya kuwahifadhi majumbani mwao mpaka hapo sayansi itakapoweza kujua kwa uhakika kama wanaweza kuhuishwa tena ama la!

This is the level of parochialism we have to confront here!

Hizo pia ni imani za watu.
Yako mpya ni nini?
 
Hii thread inanikumbusha forum moja ya kenya kuna mchangiaji 'The Atheist' views zake ziko kamili japo sizikubali zote but I enjoy reading him
 
Kwa hiyo tatizo ni wewe kutojua kiingereza?

Inawezekana kabisa unahitaji kujifunza Kiingereza kabla ya kujua maswali ya kumuhoji Kiranga.

Mengine hayajaandikwa katika Kiswahili bado.

Kwa iyo unataka nikujibu kiluga?
 
Hizo pia ni imani za watu.
Yako mpya ni nini?

Mpya is overrated, hata Mpemba alivyogundua Mpemba effect ilikuwa ishaandikwa na Aristotle.

Hata Georges Lemaitre alivyotupa "The Big Bang Theory" Edgar Allan Poe alikuwa kashaiandika katika mashairi yake zaidi ya miaka mia kabla.

Sema kingine.
 
Je na wanao umewalazimisha wafuate imani yako au umewaacha free watafute ukweli.
 
Je na wanao umewalazimisha wafuate imani yako au umewaacha free watafute ukweli.

Unajuaje kama nina au ninataka wana?

Au una assume assume tu kwamba kwa sababu kila mtu wa kijijini kwako ana watoto saba basi na mie ntataka habari hizo hizo?

With assumptions like these, I can easily understand such a mindset believing in god by fiat. Unaamini tu bila hata kuuliza ati.
 
Ishu ya "unajuaje" huwa unaitumia sana kuzima hoja. Unajua kwe hii thredi umeitumia mara ngapi?
 
Ishu ya "unajuaje" huwa unaitumia sana kuzima hoja. Unajua kwe hii thredi umeitumia mara ngapi?

Hata nikiitumia kujibia kila post, kitu cha muhimu si nimeitumia mara ngapi, bali ipo valid au siyo.

Mtu hawezi kukuambia tu "wewe mpenzi wa Simba kwa sababu hapo ulipo umevaa shati jekundu" na usimhoji, hususan kwa sababu umevaa shati la bluu.

Utaanza kumuhoji umejuaje kwamba nimevaa shati jekundu? Maana inawezekana kakufananisha na mtu anayechat naye kwenye Skype and the whole thing is a case of mistaken identity.

Kwa hiyo usiniulize nimetumia "unajuaje" mara ngapi. Niulize kama "unajuaje" ni valid.

Kama umemsoma Socrates utajua umuhimu wa swali hili la "unajuaje". Linavumbua mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom