Ukiambiwa "sumu haiepukiki, ukinywa maji yaliyosafishwa kabisa yatakuwa na sehemu ndogo ya sumu, hata usipovuta sigara hiyo hewa unayovuta ina kiasi kidogo cha sumu".
Hiyo inamaanisha uende kutafuta dawa ya panya na kuinywa kwa sababu sumu haiepukiki?