Swali la kizushi kwa Kiranga.

Swali la kizushi kwa Kiranga.

tupe mtazamo wako mkuu

Jesus the historical figure is a fabrication, a legendary figment of the imagination. The gospels are so contradictory they couldn't stand in any of today's more sensible courts of law.
 
Kiranga kule MMU kila ijumaa naona watu wanakua interviewed kuhusu masha hususani mapenzi vp upo tayari kama ukialikwa? Maana nataka kujua views zako katika maisha ya mapenzi. Tuachane na haya mambo ya dini kidogo.
 
Last edited by a moderator:

Kwanini muachane na haya mambo ya kidini mkuu..?
 
Nimekuelewa japo kidogo mkuu...japo ungeiweka kwa kiswahili ingekuwa nzuri zaidi_ili wengi ujumbe tuupate ki_sawa sawa.
 
Kwanini muachane na haya mambo ya kidini mkuu..?
Mkuu naona huku kwenye Dini ameashamaliza kila kitu, yaani anachofanya sa hivi ni kurudia aliyotasema! Sasa ndo maana nataka views zake kwenye maisha mengine
 
Ni sawa mkuu..ingawa hata huku ni bado sana maake huu mjadala ni mpana sana.
 
Mkuu ni mjadala mpana ila kwa sie tuliomsoma toka miaka hiyo, sijawai kumuona akienda kinyume na alivyoandika mwanzo mpaka sasa. Ok haina shida mkuu anaweza akawa anipiga kote kote si unamjua Kiranga alivyo !
 
Last edited by a moderator:
Kiranga hana historia ya kukimbia swali kama ulivyosema.Ila swali halijaulizwa bado, kwa sababu kuna neno limechapiwa.

Sahihisha neno, uliza swali vizuri, sio tu litajibiwa, linaweza kuandikiwa kitabu cha sura 36 kama chemba za Wu-Tang Clan.

Unaweza hata kujifunza the correct spelling.

Nipo tayari kujifunza mkuu.
Sorry for the mistakes.
Kama vipi shusha hizo nondo kama ile album ya Wu-tang.
Najua hicho utakachokiandika kuna watu watakimbia hapa.
Nimewahi kuwasoma hao jamaa nikachoka mwenyewe.
Tena hiyo album nadhani ni one of the best hip hop albums ever.
 
Kiongozi bado hujamuuliza, hebu liweke swali vizuri akija hapa ashushe nondo zake
 
Watu mnanishangaza sana humu!

Hivi kwenye vyuo vya Tanzania hawafundishi literature za old and new testament, na religion and philosophy?

Manake watu inaelekea kama vile hamjawahi kabisa kukutana ama kusikia watu wakihoji uwepo wa mungu na Kiranga ndiyo mtu wa kwanza kukutana naye ambaye haamini uwepo wa mungu!

Mimi nilishanga wakati fulani nilipoambiwa eti ni 'mdogo wake na Kiranga' kisa tu ninahoji uwepo wa mungu. To be honest I took exception to it kwa sababu tokea niko chekechea nilikuwa namsikia mdingi akiirejea biblia kama historical document tu.

Na ndipo hapo views zangu zilipoanza kuwa shaped hadi kufikia leo hii ambapo mimi ni 'agnostic' na si atheist kama Kiranga alivyo.

Sasa kwa kweli inasikitisha kuona watu hawajui hata tofauti ya agnosticism, atheism, theism.

Elimu yetu kwa kweli bado sana. Hivi Tanzania kuna hata kikundi kama 'Society of Open Minded Atheists and Agnostics'?
 
  • Thanks
Reactions: Iza

"Miafrika ndivyo tulivyo" by Nyani Ngabu.
Ila kama ukisoma post ya kwanza utagundua it's all about feelings man.
Nilitaka tu kufahamu how kiranga feels akiwa church.
Hayo mengine ni matokeo tu.
 
Kiongozi bado hujamuuliza, hebu liweke swali vizuri akija hapa ashushe nondo zake

Angalia kuna post hapo juu amegusia kidogo.
Najua alishanielewa ila alitaka nirekebishe makosa.
Ataendelea I guess.
 
Watu mnanishangaza sana humu!

Hivi kwenye vyuo vya Tanzania hawafundishi literature za old and new testament, na religion and philosophy?

Manake watu inaelekea kama vile hamjawahi kabisa kukutana ama kusikia watu wakihoji uwepo wa mungu na Kiranga ndiyo mtu wa kwanza kukutana naye ambaye haamini uwepo wa mungu!

Mimi nilishanga wakati fulani nilipoambiwa eti ni 'mdogo wake na Kiranga' kisa tu ninahoji uwepo wa mungu. To be honest I took exception to it kwa sababu tokea niko chekechea nilikuwa namsikia mdingi akiirejea biblia kama historical document tu.

Na ndipo hapo views zangu zilipoanza kuwa shaped hadi kufikia leo hii ambapo mimi ni 'agnostic' na si atheist kama Kiranga alivyo.

Sasa kwa kweli inasikitisha kuona watu hawajui hata tofauti ya agnosticism, atheism, theism.

Elimu yetu kwa kweli bado sana. Hivi Tanzania kuna hata kikundi kama 'Society of Open Minded Atheists and Agnostics'?

Wanamfanya Kiranga aonekane mtu wa ajabu simply because kasoma classic arguments na anazirudia tu. Augustine, Anselm, Russell etc. Wengine ukiwatajia hao wanaona unawatajia nini sijui.

Ndiyo maana nasema "I am not talking too fast, some of y'all are listening too slow". There is nothing exceptional about Kiranga, ila katika nchi ya wengi wasiofahamu the basic arguments, akija mtu aliyepitia tu hivi vitu anaonekana "jiniazi" kama anavyosema Nyani Ngabu

Kiranga angekuwa all that na huyu Srinivasa Ramajunan (Happy Birthday real genius) angekuwa nani?

Srinivasa Ramanujan - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Last edited by a moderator:
Angalia kuna post hapo juu amegusia kidogo.
Najua alishanielewa ila alitaka nirekebishe makosa.
Ataendelea I guess.

Kuna mtu kaandika kitabu kizima kuhusu hili swala. Kaangalia injili zilizoelezea maisha ya Yesu. Uzuri wa Injili ni kwamba zilielezea mambo yale yale, basi katika comparisons kakuta gross inconsistencies kiasi cha ku conclude kwamba kama kulikuwa na mtu aliishi ambaye ndiye huyu Yesu, habari zake kutoka kwenye biblia zimetiwa chumvi mpaka kukosa kuaminika, amekuwa more of a legend than a historical figure.
 
Wanamfanya Kiranga aonekane mtu wa ajabu simply because kasoma classic arguments na anazirudia tu. Augustine, Anselm, Russell etc. Wengine ukiwatajia hao wanaona unawatajia nini sijui.

Ndiyo maana nasema "I am not talking too fast, some of y'all are listening too slow". There is nothing exceptional about Kiranga, ila katika nchi ya wengi wasiofahamu the basic arguments, akija mtu aliyepitia tu hivi vitu anaonekana "jiniazi" kama anavyosema Nyani Ngabu

Kiranga angekuwa all that na huyu Srinivasa Ramajunan (Happy Birthday real genius) angekuwa nani?

Srinivasa Ramanujan - Wikipedia, the free encyclopedia

Mi namuona kiranga kama mtu tofauti na watu wengi.
Yeye amesoma mambo mengi na kuyaelewa, philosophy yumo,science,history,dini gani hajaisoma tena katika umri mdogo tu.
Muziki na wasanii anavielewa na kama kuna mtu anajiweza aanzishe rap battle na kiranga aone.
 
You are far too kind, Kiranga is but a yokel, a dunce among country bumpkins.

If he appears wise and worldly, it is mainly due to the limitation on the observers side.
 
Mkuu kuna swali nilikuuliza hapo juu
 
Kiranga kule MMU kila ijumaa naona watu wanakua interviewed kuhusu masha hususani mapenzi vp upo tayari kama ukialikwa? Maana nataka kujua views zako katika maisha ya mapenzi. Tuachane na haya mambo ya dini kidogo.

Unaongelea hili hapa?

Mie poa, sijawahi kukimbia mjadala.

Nishawahi kuambiwa napenda mjadala na maswali kuliko mlo!

Ni wewe tu.
 
Watu mnanishangaza sana humu!

Hivi kwenye vyuo vya Tanzania hawafundishi literature za old and new testament, na religion and philosophy?

Manake watu inaelekea kama vile hamjawahi kabisa kukutana ama kusikia watu wakihoji uwepo wa mungu na Kiranga ndiyo mtu wa kwanza kukutana naye ambaye haamini uwepo wa mungu!

Mimi nilishanga wakati fulani nilipoambiwa eti ni 'mdogo wake na Kiranga' kisa tu ninahoji uwepo wa mungu. To be honest I took exception to it kwa sababu tokea niko chekechea nilikuwa namsikia mdingi akiirejea biblia kama historical document tu.

Na ndipo hapo views zangu zilipoanza kuwa shaped hadi kufikia leo hii ambapo mimi ni 'agnostic' na si atheist kama Kiranga alivyo.

Sasa kwa kweli inasikitisha kuona watu hawajui hata tofauti ya agnosticism, atheism, theism.

Elimu yetu kwa kweli bado sana. Hivi Tanzania kuna hata kikundi kama 'Society of Open Minded Atheists and Agnostics'?

Mkuu..wewe una bahati ya kukulia na kusomea mazingira yanayo ruhusu kuhoji kuhusu huyu mungu ndio maana hauoni jipya sana..wengine tumekulia kwenye mazingira ya kilokole..Yale ambayo ukihoji lolote kuhusu mungu unaambiwa unakufuru na ni dhambi kubwa..unaambiwa unatakiwa uamini tu na mungu atakusaidia
 
Back
Top Bottom