tupe mtazamo wako mkuu
Kiranga kule MMU kila ijumaa naona watu wanakua interviewed kuhusu masha hususani mapenzi vp upo tayari kama ukialikwa? Maana nataka kujua views zako katika maisha ya mapenzi. Tuachane na haya mambo ya dini kidogo.
Jesus the historical figure is a fabrication, a legendary figment of the imagination. The gospels are so contradictory they couldn't stand in any of today's more sensible courts of law.
Mkuu naona huku kwenye Dini ameashamaliza kila kitu, yaani anachofanya sa hivi ni kurudia aliyotasema! Sasa ndo maana nataka views zake kwenye maisha mengineKwanini muachane na haya mambo ya kidini mkuu..?
Mkuu naona huku kwenye Dini ameashamaliza kila kitu, yaani anachofanya sa hivi ni kurudia aliyotasema! Sasa ndo maana nataka views zake kwenye maisha mengine
Mkuu ni mjadala mpana ila kwa sie tuliomsoma toka miaka hiyo, sijawai kumuona akienda kinyume na alivyoandika mwanzo mpaka sasa. Ok haina shida mkuu anaweza akawa anipiga kote kote si unamjua Kiranga alivyo !Ni sawa mkuu..ingawa hata huku ni bado sana maake huu mjadala ni mpana sana.
Kiranga hana historia ya kukimbia swali kama ulivyosema.Ila swali halijaulizwa bado, kwa sababu kuna neno limechapiwa.
Sahihisha neno, uliza swali vizuri, sio tu litajibiwa, linaweza kuandikiwa kitabu cha sura 36 kama chemba za Wu-Tang Clan.
Unaweza hata kujifunza the correct spelling.
Kiongozi bado hujamuuliza, hebu liweke swali vizuri akija hapa ashushe nondo zakeNipo tayari kujifunza mkuu.
Sorry for the mistakes.
Kama vipi shusha hizo nondo kama ile album ya Wu-tang.
Najua hicho utakachokiandika kuna watu watakimbia hapa.
Nimewahi kuwasoma hao jamaa nikachoka mwenyewe.
Tena hiyo album nadhani ni one of the best hip hop albums ever.
Watu mnanishangaza sana humu!
Hivi kwenye vyuo vya Tanzania hawafundishi literature za old and new testament, na religion and philosophy?
Manake watu inaelekea kama vile hamjawahi kabisa kukutana ama kusikia watu wakihoji uwepo wa mungu na Kiranga ndiyo mtu wa kwanza kukutana naye ambaye haamini uwepo wa mungu!
Mimi nilishanga wakati fulani nilipoambiwa eti ni 'mdogo wake na Kiranga' kisa tu ninahoji uwepo wa mungu. To be honest I took exception to it kwa sababu tokea niko chekechea nilikuwa namsikia mdingi akiirejea biblia kama historical document tu.
Na ndipo hapo views zangu zilipoanza kuwa shaped hadi kufikia leo hii ambapo mimi ni 'agnostic' na si atheist kama Kiranga alivyo.
Sasa kwa kweli inasikitisha kuona watu hawajui hata tofauti ya agnosticism, atheism, theism.
Elimu yetu kwa kweli bado sana. Hivi Tanzania kuna hata kikundi kama 'Society of Open Minded Atheists and Agnostics'?
Kiongozi bado hujamuuliza, hebu liweke swali vizuri akija hapa ashushe nondo zake

Angalia kuna post hapo juu amegusia kidogo.
Najua alishanielewa ila alitaka nirekebishe makosa.
Ataendelea I guess.
Wanamfanya Kiranga aonekane mtu wa ajabu simply because kasoma classic arguments na anazirudia tu. Augustine, Anselm, Russell etc. Wengine ukiwatajia hao wanaona unawatajia nini sijui.
Ndiyo maana nasema "I am not talking too fast, some of y'all are listening too slow". There is nothing exceptional about Kiranga, ila katika nchi ya wengi wasiofahamu the basic arguments, akija mtu aliyepitia tu hivi vitu anaonekana "jiniazi" kama anavyosema Nyani Ngabu
Kiranga angekuwa all that na huyu Srinivasa Ramajunan (Happy Birthday real genius) angekuwa nani?
Srinivasa Ramanujan - Wikipedia, the free encyclopedia
Mi namuona kiranga kama mtu tofauti na watu wengi.
Yeye amesoma mambo mengi na kuyaelewa, philosophy yumo,science,history,dini gani hajaisoma tena katika umri mdogo tu.
Muziki na wasanii anavielewa na kama kuna mtu anajiweza aanzishe rap battle na kiranga aone.
You are far too kind, Kiranga is but a yokel, a dunce among country bumpkins.
If he appears wise and worldly, it is mainly due to the limitation on the observers side.
Kiranga kule MMU kila ijumaa naona watu wanakua interviewed kuhusu masha hususani mapenzi vp upo tayari kama ukialikwa? Maana nataka kujua views zako katika maisha ya mapenzi. Tuachane na haya mambo ya dini kidogo.
Unaongelea hili hapa?
Mie poa, sijawahi kukimbia mjadala.
Nishawahi kuambiwa napenda mjadala na maswali kuliko mlo!
Ni wewe tu.