tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
He! Darasa la Saba tayari Memba JF? Aisee, na-log off!
solve basi tuone uwezo wako.............Unacheza weye...............
Kwa kigezo cha wastani ni sawa,lakini kama wangetumia mfumo wa GPA isingekuwa hivyo,naamini kwa utaratibu huo waliotumia hawaitendei haki 'A'
Jamani nashangazwa na jinsi wanavyopangilia majaraja ya darsa la 7 2013,mfano mwanafunzi anapata A moja au mbili na zingine B anawekewa daraja A,hii ni kichekesho.Sijui wametumia kigezo ana kupanga hizo alama............

Siyo vizurk kuwabagua wenzako kwa kuwa wewe umesoma.Kuwa member wa JF siyo lazima uwe na PhD hakuna sharti la kiwango cha elimu.Labda nikuulize, una kiwango gani cha elimu. Kama una masters nafunga computer,kwani kiwango chako cha elimu ni kidogo.
Au utuambie kiwango cha elimu kinachohitajika hapa JF.
Sema usemavyo, A haikutendewa haki....basi......,wewe ndo unastahili kuwashauri hao NECTA/wizara wanatupa majibu BRN wakati watoto hawakuwa na kiwango hicho.........Pole sana. Umeishia darasa la ngapi? Unakumbuka hesabu za wastani?
Haijalishi,ila nina maan akubwa kusema hivyo...........
He! Darasa la Saba tayari Memba JF? Aisee, na-log off!