Hii sio post ya kusumbua great thinkers... wewe jiongeze tu.Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:
Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?
Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?
Ungejibu tu kama unajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mzee chenga kweliJohn mwenyewe anasemaje?View attachment 1063374
Aisee kumbeOfcourse wanalala wote, what do you think? Yaani Presidaa aongozane na mkewe masafa yote hayo then usiku mama alale kusikojulikana?
Wakati wa JK yule maza alikuwa anaforce hata kuingia kwenye safari pale anapohisi mzee huko anakokwenda hali sio shwari.
Sina maana hiyo mkuu nimeuliza tu maana ile ni ziara ya kikazi nikajua anakuwa kama yuko ofisiniUlitaka alale na wewe? Kwanini sasa anaitwa mkewe.....maswali mengine bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana hiyo mkuu nimeuliza tu maana ile ni ziara ya kikazi nikajua anakuwa kama yuko ofisini
Sina maana hiyo mkuu nimeuliza tu maana ile ni ziara ya kikazi nikajua anakuwa kama yuko ofisini
Ni kweli yuko ofisini wakati wa mchana lakini baada ya kazi ni maisha ya kawaida ya mme na mke. Rais na Mkewe ni watu tulivyo sisi na wenyewe wana matamanio kama sisi!Sina maana hiyo mkuu nimeuliza tu maana ile ni ziara ya kikazi nikajua anakuwa kama yuko ofisini
Jirani....John mwenyewe anasemaje?View attachment 1063374
Ananizidi mimi babe...!!??[emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mzee chenga kweli
Usijali mkuu nimekusameheLakini mkuu umenijibu kistaarabu hadi nimejuta kwa kukujibu vile nisamehe bure na Mungu akubariki uwe na tabia njema hivyohivyo
Sent using Jamii Forums mobile app