Swali la kizushi: Rais na mkewe wakiwa pamoja ziarani huwa wanalala pamoja?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:

Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?

Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?
 
Hii sio post ya kusumbua great thinkers... wewe jiongeze tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John mwenyewe anasemaje?
IMG_20190405_185132.jpeg
 
Ofcourse wanalala wote, what do you think? Yaani Presidaa aongozane na mkewe masafa yote hayo then usiku mama alale kusikojulikana?

Wakati wa JK yule maza alikuwa anaforce hata kuingia kwenye safari pale anapohisi mzee huko anakokwenda hali sio shwari.
 
Aisee kumbe
 
Back
Top Bottom