Swali la kizushi: Rais na mkewe wakiwa pamoja ziarani huwa wanalala pamoja?

Swali la kizushi: Rais na mkewe wakiwa pamoja ziarani huwa wanalala pamoja?

Rais akiwa safarini anatafutiwa nyumba/hotel yenye hadhi ya nyota 5 kama ni ghorofa anachukua floor nzima familia, wasaidizi wa rais
 
Hawalali pamoja ,wanalala ikulu ndogo
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:

Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?

Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom