Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
- Thread starter
- #41
MaliziaWeye siku hizi kila ukishiriki nyuzi unabaki hoi.Maneno huumba.Uta....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaliziaWeye siku hizi kila ukishiriki nyuzi unabaki hoi.Maneno huumba.Uta....!
Alaa kumbe, mimi nilidhani labda wanakuwa hawana uhuru..tena jamaa wanakuwa kama wapo vacation flani hivi, hata cha baba na mama kinakuwa kitamu zaidi...
Atazimia.Ulamwiye?Malizia
Sent using Jamii Forums mobile app
John mwenyewe anasemaje?View attachment 1063374
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:
Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?
Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?