Ooh sawaNi kweli yuko ofisini wakati wa mchana lakini baada ya kazi ni maisha ya kawaida ya mme na mke. Rais na Mkewe ni watu tulivyo sisi na wenyewe wana matamanio kama sisi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema jirani, ebu nisogeze hapa Victoria karibu na Ijenga Petrol stationJirani kwema?
Hujarudi tu mjini?
Babe....Babe mbona unauza location? Unataka wakuibe?
Picha imenipa jibu la swali gumu zaidi juu ya yule msaidizi wa raisi mwanajeshi..huwa anasimama wapi raisi akuhutubia akiwa garini hahaaaaJohn mwenyewe anasemaje?View attachment 1063374
HahahahaPicha imenipa jibu la swali gumu zaidi juu ya yule msaidizi wa raisi mwanajeshi..huwa anasimama wapi raisi akuhutubia akiwa garini hahaaaa
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
watanzania mumeweka sana ngono mbeleLeo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:
Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?
Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?
Swali la ajabu kweliLeo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:
Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?
Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?
Akisimama nyuma yake na ile nafasi ingekuwa inappropriate sana na asingeweza kutoa sapoti ya ulizi kwa kuwa wanakuwa kama wamebanana kwa ufinyu wa nafasi. Hata hivyo hapo aliposimama pia hawezi kutoa immediate security response. Ndiyo maana watu husema huyo jamaa si mlinzi ni msaidizi nafkiri kwa mazingira kama haya usemi huo unabainika vizuri.Hahahaha
Mkuu umenifanya hata Mimi nifahamu hilo pia!
Sahihi kabisa, huyo kwa kiswahili kizuri ni mpambe sio mlinzi wenye jukumu la ulinzi wapoAkisimama nyuma yake na ile nafasi ingekuwa inappropriate sana na asingeweza kutoa sapoti ya ulizi kwa kuwa wanakuwa kama wamebanana kwa ufinyu wa nafasi. Hata hivyo hapo aliposimama pia hawezi kutoa immediate security response. Ndiyo maana watu husema huyo jamaa si mlinzi ni msaidizi nafkiri kwa mazingira kama haya usemi huo unabainika vizuri.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Weye siku hizi kila ukishiriki nyuzi unabaki hoi.Maneno huumba.Uta....!Mimi hoi..!!