Swali la kizushi: Rais na mkewe wakiwa pamoja ziarani huwa wanalala pamoja?

Khantwe ukishajibiwa hilo swali naomba unisaidie kuuliza hili hapa;-

Hivi Rais kama amelala ndani (ziarani) na mke wake, bodyguards wanakuwa wapi?
Ngoja wajuvi watujibu ila mimi nahisi labda wanakuwa vyumba vya jirani
 
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:

Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye kioo) Hivi si mlisema anafanya ziara ya siku tatu mbona hamalizi?
Jirani: Siku tatu zilikuwa za Mtwara leo yuko Ruvuma
Binti: Anaunganisha tu ziara hivi haimisi familia yake?
Sisi: Familia gani ya kumisiwa wakati mhusika mkuu yupo naye?
Binti: Wanalala wote?
Sisi: (kicheko) kumbe walale tofauti kwa sababu gani?

Nimeona nije kwenu great thinkers eti ni kweli huwa wanalala pamoja au wanasubiri hadi warudi nyumbani?
watanzania mumeweka sana ngono mbele
 
Swali la ajabu kweli
 
Hahahaha

Mkuu umenifanya hata Mimi nifahamu hilo pia!
Akisimama nyuma yake na ile nafasi ingekuwa inappropriate sana na asingeweza kutoa sapoti ya ulizi kwa kuwa wanakuwa kama wamebanana kwa ufinyu wa nafasi. Hata hivyo hapo aliposimama pia hawezi kutoa immediate security response. Ndiyo maana watu husema huyo jamaa si mlinzi ni msaidizi nafkiri kwa mazingira kama haya usemi huo unabainika vizuri.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sahihi kabisa, huyo kwa kiswahili kizuri ni mpambe sio mlinzi wenye jukumu la ulinzi wapo

Uwepo hasa wa huyo jamaa ni kuonyesha u-amiri jeshi wa mkulu akisimama nyuma ya gari ambapo hataonekana hadhi ya u-amiri inapotea kwahiyo lazima aonekane

Kwa mtazamo wangu
 
..tena jamaa wanakuwa kama wapo vacation flani hivi, hata cha baba na mama kinakuwa kitamu zaidi...
 
Back
Top Bottom