Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana.
Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo kazalwa nayo...na wewe ndio umejifunzia tu darasani.
Je, unaweza kufokeana/kubishana/kutukana nae kwa dk ngapi?
NB: Raha ya ugomvi/ubishi mmoja aumie kwa maneno yatakayomuuma (yaani aelewe tusi hilo lina maana gani)