Swali la kizushi: Unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi? Kwa english yako hiyo

Mkuu naomba kuupdate comment yangu sahivi nimeimprove kidogo naweza bishana dk 1 huku the the kibao ila ntamkazia hivo hivo 😂 na hili neno moja litakua likijirudia "don't play with me" i will bast your mendulaa"😂😂
 
Itategemeana kama na hasira nitakuwa nazo maana wazungu wenyewe wakiwa humu Tz kwetu huwa ni wapole sana sijui utaanzia wapi kukwaruzana nao
 
Si utani mkuu nipo serious [emoji23]

Unenikumbusha siku nafanya presentation ya Project yaku Chuoni [emoji28][emoji28]. Nilipiga rehearsal ya kutosha mwenyewe tu asee, Nikawa nimejiaminisha nitafanya vizuri maana wakati nikiwa pekee yangu nilikuwa najiona niko sawa. Sasa nilipofika pale mbele ngeli yangu iliyeyuka nikawa nahangaika kutamka maneno ambayo niliyapigia msuli. Sijui nini ilikuwa..! [emoji28][emoji28][emoji28].
 
sekunde sita tu zinatosha ...kwa kuwa nitabaki you..you..you...take...my...me..baby..shit..shit..you!
 
Hata mm nina huo ugonjwa..nikiwa najiongelesha peke angu..najikubali hatari...kivumbi kinaanza nikiwa naongea na mtu sasa.duh
 
Kama nakuona the the you know😂😂🙌
 
Hata mm nina huo ugonjwa..nikiwa najiongelesha peke angu..najikubali hatari...kivumbi kinaanza nikiwa naongea na mtu sasa.duh

Daah Hii kitu bhana inahitaji mazoezi ya kutosha kupitia kuizungumza na watu.
 
Kwa akili yako kisoda Mwanaume hugombana kwa Maneno? Kama wewe ni "ke" uko sawa.

Mwanaume ukishaniambia tusi
Kifuatacho ni kukuvujisha maji ya rangi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…