Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

STRESS WATU WANA STRESS YANI MTU VICOBA, MADENI,MREJESHO VYOTE VIPO KWENYE KICHWA CHA MTU MMOJA AFU UNATAKA ACHANGIE MADA FIKIRISHI YESU KRISTO ANAKUONA MTOA MADA KWANINI HUNA HURUMA

WATU WENYE STRESS HUCHAGUA THREADS ZINAZO WATOA STRESS

(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO)
Wewe ndio una depression za kusubiria Jerusalem mpya ,onyesha mada yako fikirishi au mchango wako wenye tija zaidi ya habari zako za kusadikika za yerusalemu mpya🤔
 
Back
Top Bottom