Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwani mkuu vipi wewe unakula?Wadau poleni kwa msiba...
Ndizi sili bila kukatakata aisee.Na ndizi msile maana imefanana na dudu
We mzee mwenzangu umezeeka bwana, napenda dogo dogoHivi wewe? Hebu twende PM kwanza nikakutongoze
haki nimecheka nawaza mtu kama waziri mkuu awe ...
Yaani unataka kucheka pia ukiwaza Rais anakula ndizi?Haki nimecheka nawaza mtu kama waziri mkuu awe anakula ubuyu hahahahahhahaha.
Nikajua ushahamia Dar...We mzee mwenzangu umezeeka bwana, napenda dogo dogo
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
hahahaha kwa ndizi sawa ubuyu hahahahahahahah yan nacheka nikose tu teuziYaani unataka kucheka pia ukiwaza Rais anakula ndizi?
Kwenye huu utawala, sahau kabisa uteuzi...
Nikajua ushahamia Dar...We mzee mwenzangu umezeeka bwana, napenda dogo dogo
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Yani unacheka prezidaa wetu kula ndizi mbivu? Shauri zako...hahahaha kwa ndizi sawa ubuyu hahahahahahahah yan nacheka nikose tu teuzi
Aaah hahahaha dah kmkPanchito mwakilishi wa wanaume wa Kinondoni ngoja aje kukujibu...Ni anapenda Azam ukwaju pia
Dar sipapendiNikajua ushahamia Dar...
Maana Dar hakunaga wazee...