Swali la leo: Je, ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Swali la leo: Je, ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau poleni kwa msiba.

Nazungumzia ubuyu unaotumiwa kama tunda au chakula ukipendwa zaidi na wamama na ukiwa na rangi tofauti tofauti maarufu zaidi rangi nyekundu.

Ninapenda jua kama ni sahihi kwa mtu mwanamume kula ubuyu?

Karibuni kwa ushauri.
 
Na ndizi msile maana imefanana na dudu
Ndizi sili bila kukatakata aisee.

ice-cream zile za Azam zimekaa kama dushee zirambi.

soda nanywea kwenye grasi.

Vile vidude flani hivi sijui hotdogs au nn vya njano hivi sili.

DONATI ZENYE TOBO NAKULA BALAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Ina maana ulivyokuwa shule ya msingi ulikuwa hauli ubuyu?

Wewe unadhani kwanini wanaume wasile ubuyu?

Hizi mambo ndio kwanza naona humu yote sababu ya mindset.
 
hahahaha kwa ndizi sawa ubuyu hahahahahahahah yan nacheka nikose tu teuzi
Yani unacheka prezidaa wetu kula ndizi mbivu? Shauri zako...

Mwishowe utacheka Makamu wa Rais akila donati...

Kemea shetani we mrembo... ohoo
 
Wanaume wa dar hawajivungi wanakula ubuyu kuliko hata visichana vya primary
 
Ukiachana na ubuyu kulakula hasa njiani kwa dume haijakaa vizuri
 
Back
Top Bottom