Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

See, that’s the problem with us Tanzanians.

We are complete pussies. Too docile.

We are scared to take the bull by the horns and do what’s in our best interest.

Kipindi cha Magufuli tulikaa kimya kabisa kuhusu katiba.

Sasa hivi tunabembeleza tupate hisani ya Samia.

Ndo maana CCM wanatuchezea sana.
Ndiyo maana nikauliza unataka jibu la kisheria na kikatiba au la uhalisia wa maisha ya Mtanzania?

Kiuhalisia katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, lakini rais kapiga marufuku na watu wamekubali.
 
Ndiyo maana nikauliza unataka jibu la kisheria na kikatiba au la uhalisia wa maisha ya Mtanzania?

Kiuhalisia katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, lakini rais kapiga marufuku na watu wamekubali.
Nimeuliza hili swali baada ya kumsikia Tundu Lissu akimwomba Rais Samia aanzishe mchakato wa katiba mpya.

Kwa kuwà Rais anatokana na wananchi na kwakuwa pia yeye ni sehemu ya bunge ambalo pia linatokana na wananchi kwa maana demokrasia ya uwakilishi na kwakuwa yeye ndiye mwenye bajeti kama mhimili unakusanya pesa Kwa kuwa katiba ili iundwe huhitaji bajeti ni ukweli kuwa yeye mheshimiwa Rais anayonafasi kubwa ya kuanzisha mchakato wa katiba kuliko hao wajinga uliowataja hapo juu.

USSR
Bado kuna teuzi unanyemelea naona.
 
Nimeuliza hili swali baada ya kumsikia Tundu Lissu akimwomba Rais Samia aanzishe mchakato wa katiba mpya.

Hao hao wanasiasa wanaosema katiba mpya inahitajika kumpunguzia rais madaraka, wanampa rais madaraka ambayo hata hana.

Tundu Lissu kapoteza pqssport yake, anamuomba rais amsaidie kupata passport mpya.

Kwani hatuna balozi za kufanya kazi hii?

That was a ridiculous contradiction for someone who wants to curb presidential powers.
 
Ndio maana hilo zoezi la kuipata Katiba Mpya linachelewa, kwasababu wananchi tumejidumaza akili kwa kusubiri ruhusa hiyo itoke kwa mwenyekiti wa CCM ambaye pia anaitwa Rais.

Tukiamka tukajua hii nchi ni ya wananchi, Rais, wabunge na wengine ni wawakilishi tu wa wananchi, basi Katiba Mpya itapatikana haraka iwezekanavyo.

Lakini kwa ujinga wetu, wananchi nao wanaungana na wanasiasa wanaowaongoza kutengeneza makundi ya Katiba Mpya, wale wa upinzani baadhi wanaitaka Katiba Mpya, na wale wa chama tawala nao wanaipinga.

Wanaipinga kwa ujinga tu wa kutaka chama chao kiendelee kutawala, ushabiki tu; sio kwamba nao wanafaidika kwa vyovyote na ubovu wa hii Katiba mbovu iliyopo, zaidi ya kikundi kidogo cha watawala kinachotuongoza
 
Mwananchi ndiye mwajiri.
Ndiye mlipa kodi.
Ndiye mwenye mamlaka .. Kubwa Sana sema mwananchi wa JMT hajitambui...
 
Leo na wewe muumini wa Chato unatoa neno kuhusu katiba mpya? Kipindi Cha JPM uliipinga kwa nguvu zote, ukawa unataka ndege, madaraja....reli na lami
Mrija ulikatwa sasa kabaki kutangatanga haeleweki
 
Kwa kuwà Rais anatokana na wananchi na kwakuwa pia yeye ni sehemu ya bunge ambalo pia linatokana na wananchi kwa maana demokrasia ya uwakilishi na kwakuwa yeye ndiye mwenye bajeti kama mhimili unakusanya pesa Kwa kuwa katiba ili iundwe huhitaji bajeti ni ukweli kuwa yeye mheshimiwa Rais anayonafasi kubwa ya kuanzisha mchakato wa katiba kuliko hao wajinga uliowataja hapo juu.

USSR
Crap
 
Swali la kijinga bwana mzee ni miongoni mwa hoja za kuanzisha mchakato kwani limebeba element muhimu ya mahitaji ya katiba mpya
 
Ni ujinga sana kujipendekeza ili upate teuzi
Hawa jamaa walikubali kudhalilika kwa vipande vya noti, na jamaa kafa bila kuwapa fadhila, yaani fungu la kukosa, mwanakijijj aliyekuwa maarufu sana mitandaoni Sasa kapotea kabisa, Kila akipost anaporomoshewa matusi.

Kabaki huyu nyani ndio analinda kaburi la legasi
 
Back
Top Bottom