Ndiyo maana nikauliza unataka jibu la kisheria na kikatiba au la uhalisia wa maisha ya Mtanzania?See, that’s the problem with us Tanzanians.
We are complete pussies. Too docile.
We are scared to take the bull by the horns and do what’s in our best interest.
Kipindi cha Magufuli tulikaa kimya kabisa kuhusu katiba.
Sasa hivi tunabembeleza tupate hisani ya Samia.
Ndo maana CCM wanatuchezea sana.
Nimeuliza hili swali baada ya kumsikia Tundu Lissu akimwomba Rais Samia aanzishe mchakato wa katiba mpya.Ndiyo maana nikauliza unataka jibu la kisheria na kikatiba au la uhalisia wa maisha ya Mtanzania?
Kiuhalisia katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, lakini rais kapiga marufuku na watu wamekubali.
Bado kuna teuzi unanyemelea naona.Kwa kuwà Rais anatokana na wananchi na kwakuwa pia yeye ni sehemu ya bunge ambalo pia linatokana na wananchi kwa maana demokrasia ya uwakilishi na kwakuwa yeye ndiye mwenye bajeti kama mhimili unakusanya pesa Kwa kuwa katiba ili iundwe huhitaji bajeti ni ukweli kuwa yeye mheshimiwa Rais anayonafasi kubwa ya kuanzisha mchakato wa katiba kuliko hao wajinga uliowataja hapo juu.
USSR
Hao hao wanasiasa wanaosema katiba mpya inahitajika kumpunguzia rais madaraka, wanampa rais madaraka ambayo hata hana.Nimeuliza hili swali baada ya kumsikia Tundu Lissu akimwomba Rais Samia aanzishe mchakato wa katiba mpya.
Mrija ulikatwa sasa kabaki kutangatanga haelewekiLeo na wewe muumini wa Chato unatoa neno kuhusu katiba mpya? Kipindi Cha JPM uliipinga kwa nguvu zote, ukawa unataka ndege, madaraja....reli na lami
CrapKwa kuwà Rais anatokana na wananchi na kwakuwa pia yeye ni sehemu ya bunge ambalo pia linatokana na wananchi kwa maana demokrasia ya uwakilishi na kwakuwa yeye ndiye mwenye bajeti kama mhimili unakusanya pesa Kwa kuwa katiba ili iundwe huhitaji bajeti ni ukweli kuwa yeye mheshimiwa Rais anayonafasi kubwa ya kuanzisha mchakato wa katiba kuliko hao wajinga uliowataja hapo juu.
USSR
Nyani Ngabu na Mimi mwanakijijj waliahidiwa uteuzi awamu ya 2020/25, jamaa kafa barua zao za uteuzi bado hajazisainiMrija ulikatwa sasa kabaki kutangatanga haeleweki
Ni ujinga sana kujipendekeza ili upate teuziNyani Ngabu na Mimi mwanakijijj waliahidiwa uteuzi awamu ya 2020/25, jamaa kafa barua zao za uteuzi bado hajazisaini
Hawa jamaa walikubali kudhalilika kwa vipande vya noti, na jamaa kafa bila kuwapa fadhila, yaani fungu la kukosa, mwanakijijj aliyekuwa maarufu sana mitandaoni Sasa kapotea kabisa, Kila akipost anaporomoshewa matusi.Ni ujinga sana kujipendekeza ili upate teuzi