Amekuja Wambura, lakini hajafanya any positive development katika jeshi la polisi kwa utendaji wake unaolalamikiwa na watanzania wote! Mama Samia kwanini alimbadilisha Siro?
Walio wengi walitarajia mabadiliko katika utendaji wa polisi particularly katika kuzingatia haki za binadamu wanapofanya kazi ya upolisi.
Kuzingatia PGO manifesto, hawaijui kama ipo duniani. Nilitegemea Wambura awafanye wajue kuwa kuna PGO inayowaongoza katika kazi zao na waifuate kama msahafu.
Mambo ni yale yale ya polisi kuua katika vituo vyao wakiwa na watuhumiwa, kubambikia watu kesi, kudhulumu watu kwa rushwa (trafiki) na makundi mengine ya polisi.
WAS THERE A NEED TO REPLACE SIRO WITH WAMBURA?
TO ME, THIS IS MY CONCLUSION:
Changes are geared to consolidate power! not for the service/BETTERMENT of people, POOR ONES!!