JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 98
- 122
Niliambiwa kuwa Al'khaba ni kaburi la Mtume..Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani.
Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa, na ungependa kupata Uhalisia wake?
Akitaka nini mkuuNiliambiwa kinyonga akitaka kuzaa hupenda juu ya mti mrefu halafu hujitupa akipasuka watoto hutoka. Na hapa kuna methali moja ilitungwe ikisema hufa kwa uzazi wake =kinyonga.
Nilikuja kugundua kuwa hui ni uwongo baada ya kumkuta kinyonga akitaka.
Akitaka kuzaa.Akitaka nini mkuu
Kinyonga anataga ,hiyo ni chai kiongoziAkitaka kuzaa.
Kwani mauji uliambiwa na nani hayawezi kuwa sehemu ya mapinduzi mkuu🤔Nilidanganywa ccm ni chama cha mapinduzi kumbe ni cha mauaji
Kinyonga anataga lakini mwalimu wangu wa shule ya msingi aliniambia kinyonga akitaka kuzaa anapenda juu ya mti halafu anajirusha then akifikia chini anapasuka ndipo watoto wanatoka tumboni.Kinyonga anataga hiyo ni chai kiongozi
Cc The Mongolian Savage ,🤣🤣 tusaidieNiliambiwa kuwa Al'khaba ni kaburi la Mtume..
Lakini nilivyofuatilia nikajau kuwa kuna jiwe jeusi ndani
Nataka kujua hilo jiwe lilitoka wapi na lina nguvu gani?
😢Kubatizwa nikiwa mtoto, ni kwa nini nilitekwa kiimani? Sikuwa na uwezo wa kukataa kwa sababu ya utoto, sasa nimekuwa nikagundua ukristu ni biashara. Tusiwabatize watoto, waache wawe watu wazima ili wachague imani yao.