Swali la Siku: Jambo gani uliloambiwa utotoni unalohisi ni Upotoshaji ungehitaji kujua Uhalisia wake?

1. Kwamba.... Elimu ni ufunguo wa maisha.
Sasa swali langu ni kwamba vipi wale ambao hawaja ipata elimu, huo ufunguo ndio wanakua wameukosa??
Je wale wanaipata elimu, wanauhakika wa kufanikiwa kwasababu tayari wanamiliki ufunguo wa maisha??
Screenshot_20241202-121009.jpg
 
UGENINI

Ukila vibaya utaenda kutia aibu UGENINI

Usipo fanya majukumu ya nyumbani unaambiwa UGENINI huwezi kukaa,Sasa UGENINI ni wapi maana kila Jambo UGENINI UGENINI
 
Eti Education is better than Money pambaff..nilishaomba radhi, I'm sorry money nilijazwa tu maneno but I need you so mwaaah
TRue story.

MWaka 2014 kuna jamaa aliishia std 7 akatukuta sehemu akiwa na prado (nadhani) alitununulia vyombo vya kutosha huku akisema hela si kitu na elimu yenu imewasaidia nini?

Ingawa niliokuwa nao walijia nilisoma nae lkn na rafiki yangu lkn mimi nilikuwa na kundi tofauti la marafiki.

Aliweka vinywaji + kutamba hata elimu walizo nao jamaa yangu hazina kitu mbele ya hela.

Alikuwa na miradi na majengo kiasi kuwa kama angepata mtu sahihi leo labda angekuwa ametoa ajira mara 20 zaidi ya kipindi kile.

Kwa sasa sasa mali zote zimeuzwa kutokana na mikopo. Ila tu niseme elimu sio hela lkn ukiwa na elimu pia inasaidia kuwa na heshima kwenye hela.

Samahani ni debate inaendelea namna hiyo.
 
Ndungulile alibeba vyote, hela na elimu..kafa kawaachia watoto lugha ya malkia, to be honesty hawa wasipopata usimamizi mzuri watabakia na kivuli cha historia ya baba...tafuta hela mkuu, elimu utaipata hata mbinguni baada ya kumaliza episode zote za season ya duniani.
Kuwa tajiri ni dhambi,fine ila umasikini si utakatifu so far..tafuta hela chaliaaaangu
 
Hivi unajua hata chawa kwa sasa hawafikilii elimu waliyo nayo bali uchawa?

Tukiacha hapo mfaano nimetoa hapo juu hau watu nimesoma nao ni 80's wakati huo haya mabasi ya njano hayapo.
 
Back
Top Bottom