Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake.

Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi halikuwa Halisi?

1734354319989.jpeg
 
Back
Top Bottom