johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kosa ni la Ofisi ya Waziri Mkuu anayeidhinisha manunuzi hayo hali akijua si hadhi ya ma-DEDMadiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Siti ya mbele kabisa.Kosa ni la Ofisi ya Waziri Mkuu anayeidhinisha manunuzi hayo hali akijua si hadhi ya ma-DED
Ushindi ni ushindi mura!Wakurugenzi na madiwani wote ni zao la uchaguzi feki ulioharibiwa na serikali ya CCM.
Hata wewe baptist ni sehemu ya huo uozo sababu ulishangilia ule ushindi hewa.
Ulizaneni mkipata majibu,tunaomba mrudi hapa kutupa mrejesho.Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Jaffo awe Rais?Tumeshajua anaetafutwa bwana yule ndio anatafutwa anaonekana ana nguvu sawa na Mamvi sasa dawa kumakizana nae tuanze upya .....!! Nataka Rahisi wangu nitampandikiza mwenyewe sio zao lao na mitandao Jan, Majaliwa, hapana ...mnikishindwa Jafo basi heri aje Mwinyi .....Zbar nimuweke Mbarawa muda ni mwalimu mzuri ......PM hakuna kupenya..
Mtajuana nyie mnaetaka kumvuruga MKM ili iweje??? Mpiga dufu na muimba mapambio wenu mnadhani ngoma yake itakesha??? Tupo hapa .....tumia na tupa kule ( condom)Jaffo awe Rais?
Bwashee nasikia uko Lindi sikukuu hii!Tanzania ya kijani
CCM inajiendesha yenyewe haitegemei kodi za wananchi kama Chadema!Hayo magari mbona hata huko CCM mmeyanunua? CCM ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi na watoto waizi.
comrade fanya ukatubu.Bwashee nasikia uko Lindi sikukuu hii!
Kitubio nimekamilisha jana bwashee!comrade fanya ukatubu.
Kwani nasema uongo, ndugu zangu...!Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.