Kiguturi Nyamili
Member
- Oct 27, 2020
- 65
- 74
Ahadi za ushindi wa kishindo. Wametumika kama kondom wameshatupwa. Haiwezekani waraka wa aina ya magari wanayostahiri wakati waraka upo mezani. Wasiwadanganye watanzania. Watanzania siyo wajinga. Kama kweli ni kosa Waziri Mkuu ajiuzuru kwa kuwa ofisi yake imeshiriki katika kuvunja kanuni na taratibu za serikali huku yeye akiwa mtendaji Mkuu wa serikali. Ajiuzuru tuWakurugenzi na madiwani wote ni zao la uchaguzi feki ulioharibiwa na serikali ya CCM.
Hata wewe baptist ni sehemu ya huo uozo sababu ulishangilia ule ushindi hewa.