robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Nawe usiweke chumvi kwa hasira zako za maisha. Marais wa nchi za Dunia hii unawafahamu wote? Umewezake kusema duniani wakati huwajui wote.Si suala la kuuliza, BINADAMU yeyote anaweza kuwa RAISI wa Tanzania.
Ni nchi pekee duniani isiyo angalia uwezo na kipaji ili kuwa mkuu wa nchi
Nimekuelewa bwashee!Mkurugenzi ni bwege zaidi. Kwa nafasi hiyo na elimu hiyo hastahili kuwa mtu anayelilia gari la aina hiyo. Hiyo ni hatua ya kitoto kabisa! Tulio na uelewa hatuhitaji tena kujionesha. Nafasi hiyo inamtosha kabisa kufahamika ubora wake na siyo kwa gari lake.
Ofisi ya waziri mkuu mbona umeiacha?..Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Madiwani ndio wanatufelisha!Ofisi ya waziri mkuu mbona umeiacha?..
Punguza upambe bwashee
Kwanza hakuna kosa la kununua gari la kifahari, chombok kipi kimeweka hilo kosa?Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Ni jambo jema kuuliza maswali ya msingi.Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.