Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂

Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya tendo la ndoa, Mimi Nina swali moja Tu Kwa niaba ya mume wangu mtarajiwa

Mchungaji: Uliza tu Mpendwa

Shogangu: Kwa mfano tukiwa tunafanya Mapenzi kwenye ndoa huko honeymoon na KUENDELEA, na kama nikiwa nataka kukojoa au ku-come wazungu wanasema, niwe nasemaje sasa?! Nimwite Yesu au niseme neno gani?! Maana nikitukana NI dhambi🙄

Mchungaji: huruhusiwi kumwita Yesu kabisa tafuta neno polite hata kusema ndizi au taja jina la mji lakini sio Mbinguni

Shogangu: Yani Money Penny hawa wachungaji wanatushinda tabia sasa, hivi me kweli kwenye hamu zangu nisitukane?! Au kuna jina la Kulitaja lingine tofauti na matusi?

Money Penny: Labda useme safina au gharika kama mvua ya Jana ukishuka Dar😂😂😂

Eti jamani nyie Wana Jamii forum, Mkiwa mnakojozana kitandani wakati WA tendo natajaga jina gani?! Au shetani?!😂😂😂😂

Poleni na mvua ya Jana BDW🏃🏃🏃🏃🏃

Ndio nimetoka Kwa Gwajima hapa Kawe rahaaa Leo live bila chenga na kina, Mondi💃

NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
16. Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!
17. Jinsi ya kumkataa mwanaume
18. Pipe kama Pipe, huwa haina huruma na kuremba
19. Kwanini wanawake wenye Wowowo kubwa Huolewa na Wanaume Wembamba?!
20. Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa
 
.....kukojozwaa...
Si amng'ate tu huyo bwanake sikio inatosha....au amnanihino huyo bwanake kidole cha kuleee....ila asitukane..
 
Utafiti unaonyesha takriban asilimia 70 ya wanawake hawajawahi kukojoa(zwa) tangu waanze kufanya tabia mbaya.
 
Kwa nini asitaje jina la mumewe. Matokeo ya pornography haya, uzungu mwingi!
 
Back
Top Bottom