Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Russia kuibuka kidedea tu hakuna namna nyengineTunafunga mwaka 2023.
1. Urusi imewekewa vikwazo vya kiuchumi 17,000 na mataifa yenye uchumi mkubwa duniani.
2. Ujerumani taifa tajiri zaidi Ulaya limeingia rasmi kwenye mdororo wa kiuchumi.
3. Ukraine imepoteza asilimia 20% ya eneo lake la ardhi lenye rasilimali zenye thamani ya dola za marekani trilioni 10.
4. Msaada mkubwa wa kijeshi kutoka umoja wa kujihami wa NATO umeshindwa kuidhibiti Urusi kwenye uwanja wa vita.
Tutegemee nini tena ???
Hatimae, [emoji3][emoji1787][emoji3]Tutegemee Ukraine kushinikizwa na wafadhili wake kutafuta njia ya kuanzisha mazungumzo ya amani na mvamizi.
Oooh shukran MKUUKwenye economics na data za World bank EU huwa ina stand alone maana pia ina currency yake na policy zake exclusively na nchi zisizo EU. Hii ni sawa na huku Africa huwa wanaigawa Africa kuwa sub saharan Africa alafu nchi za Afrika za kiarabu zinatambulika kama MENA yaani Middle East and North Africa.
Mkuu naomba jina la ile article ya forther wa geopolitics aliyoizungumzia urusiTunafunga mwaka 2023.
1. Urusi imewekewa vikwazo vya kiuchumi 17,000 na mataifa yenye uchumi mkubwa duniani.
2. Ujerumani taifa tajiri zaidi Ulaya limeingia rasmi kwenye mdororo wa kiuchumi.
3. Ukraine imepoteza asilimia 20% ya eneo lake la ardhi lenye rasilimali zenye thamani ya dola za marekani trilioni 10.
4. Msaada mkubwa wa kijeshi kutoka umoja wa kujihami wa NATO umeshindwa kuidhibiti Urusi kwenye uwanja wa vita.
Tutegemee nini tena ???
wkt viongoz wa Urus wameanza kutua kyievTutegemee Ukraine kushinikizwa na wafadhili wake kutafuta njia ya kuanzisha mazungumzo ya amani na mvamizi.
Unamuita huyo msanii.Hii hii mifumo iliyohujumiwa sana na Ukraine..
Warusi walishindwa kabisa kudhibiti anga la Ukraine japo wana ndege nyingi, hata 'SEAD' hawakuweza kabisa.....huenda military doctrine yao imechangia huo udhaifu...
Kwa doctrine ya Warusi 'airforce is an extension of artillery'
Anyway Warusi ni mabingwa wa propaganda.
T14 Armata
Si ujibu wewe,kwa nn unakaa kulalama tu.Ndio mana nimesema huyu jamaa hakujibu maswali yeye alizama kwenye pori analolijua yeye basi
Mkuu, sijajua uhusiano wenu, ila nadhani unaaribu uzi, hao unaowaita wapiga nyeto ndo wanaleta changamoto, na kuibua maswali, na unayemsifia au kumwona sahihi asingeleta hayo unayoyakubali bila hao unaowaita wapiga nyetoMpiga punyeto Armata na takwimu zake za kuokoteza google akala kona [emoji23][emoji23]