Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Russia kuibuka kidedea tu hakuna namna nyengineTunafunga mwaka 2023.
1. Urusi imewekewa vikwazo vya kiuchumi 17,000 na mataifa yenye uchumi mkubwa duniani.
2. Ujerumani taifa tajiri zaidi Ulaya limeingia rasmi kwenye mdororo wa kiuchumi.
3. Ukraine imepoteza asilimia 20% ya eneo lake la ardhi lenye rasilimali zenye thamani ya dola za marekani trilioni 10.
4. Msaada mkubwa wa kijeshi kutoka umoja wa kujihami wa NATO umeshindwa kuidhibiti Urusi kwenye uwanja wa vita.
Tutegemee nini tena ???