Swali la uchumi: Kwanini vikwazo vya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi havifanyi kazi dhidi ya Urusi?

Swali la uchumi: Kwanini vikwazo vya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi havifanyi kazi dhidi ya Urusi?

Tunafunga mwaka 2023.

1. Urusi imewekewa vikwazo vya kiuchumi 17,000 na mataifa yenye uchumi mkubwa duniani.
2. Ujerumani taifa tajiri zaidi Ulaya limeingia rasmi kwenye mdororo wa kiuchumi.
3. Ukraine imepoteza asilimia 20% ya eneo lake la ardhi lenye rasilimali zenye thamani ya dola za marekani trilioni 10.
4. Msaada mkubwa wa kijeshi kutoka umoja wa kujihami wa NATO umeshindwa kuidhibiti Urusi kwenye uwanja wa vita.

Tutegemee nini tena ???
Russia kuibuka kidedea tu hakuna namna nyengine
 
Kwenye economics na data za World bank EU huwa ina stand alone maana pia ina currency yake na policy zake exclusively na nchi zisizo EU. Hii ni sawa na huku Africa huwa wanaigawa Africa kuwa sub saharan Africa alafu nchi za Afrika za kiarabu zinatambulika kama MENA yaani Middle East and North Africa.
Oooh shukran MKUU
 
Tunafunga mwaka 2023.

1. Urusi imewekewa vikwazo vya kiuchumi 17,000 na mataifa yenye uchumi mkubwa duniani.
2. Ujerumani taifa tajiri zaidi Ulaya limeingia rasmi kwenye mdororo wa kiuchumi.
3. Ukraine imepoteza asilimia 20% ya eneo lake la ardhi lenye rasilimali zenye thamani ya dola za marekani trilioni 10.
4. Msaada mkubwa wa kijeshi kutoka umoja wa kujihami wa NATO umeshindwa kuidhibiti Urusi kwenye uwanja wa vita.

Tutegemee nini tena ???
Mkuu naomba jina la ile article ya forther wa geopolitics aliyoizungumzia urusi
 
Hii hii mifumo iliyohujumiwa sana na Ukraine..

Warusi walishindwa kabisa kudhibiti anga la Ukraine japo wana ndege nyingi, hata 'SEAD' hawakuweza kabisa.....huenda military doctrine yao imechangia huo udhaifu...

Kwa doctrine ya Warusi 'airforce is an extension of artillery'

Anyway Warusi ni mabingwa wa propaganda.

T14 Armata
Unamuita huyo msanii.
 
Krismas Mubaaarak bandugu
JamiiForums-661793165.jpg
 
Mpiga punyeto Armata na takwimu zake za kuokoteza google akala kona [emoji23][emoji23]
Mkuu, sijajua uhusiano wenu, ila nadhani unaaribu uzi, hao unaowaita wapiga nyeto ndo wanaleta changamoto, na kuibua maswali, na unayemsifia au kumwona sahihi asingeleta hayo unayoyakubali bila hao unaowaita wapiga nyeto

Ili kuwe na mjadala, lazima kuwe na pande mbili....ili tuzidi kufaidika, lazima wote tuwaencourage, ili hata yule unayemwona yupo sahihi azidi kuchangia zaidi, coz anayepinga hoja zake akiondoka, mjadala utaisha.

Nadhani, ni busara Sana kushambulia, kukosoa hoja ya mtu na Si personality yake....ni mtazamo wangu tu dhidi ya neno lenu " Mpiga nyeto"
 
Back
Top Bottom