MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #121
Australia???
Ngoja niende gugo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Australia???
Ngoja niende gugo
Pesa itashuka thamanMchumi, hebu nisaidie: Hivi leo BOT ikaamua kufanya QE ili kuingiza fedha kwenye mzunguko, au tukachapisha fedha nyingi ambazo zikapelekea kuwa na Money Base (MO) kubwa ambayo inazidi fedha zilizoko sokoni na upatikanaji wa rasilimali, nini kitatokea, ???
Kama ambavyo hujanipa Jibu la swali langu kwamba wakati una conclude kuwa vita ya Ukraine imechangia inflation au matatizo ya kiuchumi huko western Bloc (G7) je ume control for other macroeconomic variables??Swali langu kuhusu Australia, mbona hunipi majibu mchumi ???
Hili nimeshajibu kwamba thamani ya bidhaa huwa inakua at par na machapisho ya fedha maana fedha kama fedha Haina thamani unless iwe na attached value ya bidhaa.Mchumi, hebu nisaidie: Hivi leo BOT ikaamua kufanya QE ili kuingiza fedha kwenye mzunguko, au tukachapisha fedha nyingi ambazo zikapelekea kuwa na Money Base (MO) kubwa ambayo inazidi bidhaa na rasilimali zilizoko sokoni na upatikanaji wa rasilimali, nini kitatokea, ???
Kama ambavyo hujanipa Jibu la swali langu kwamba wakati una conclude kuwa vita ya Ukraine imechangia inflation au matatizo ya kiuchumi huko western Bloc (G7) je ume control for other macroeconomic variables??
Maana tukihamia kwa Australia tukaachana na Russia mada itageuka tena muelekeo.
Mfano kama Tanzania tuna GDP ya trillion 100 kutokana na thamani ya bidhaa zinazouzwa au kuzalishwa (Govt expenditure, net exports, investments n.k) Ina maana hata machapisho ya pesa yataendana na thamani ya bidhaa zilizopo not otherwise.
Of course most use GDP kwa kuangalia thamani ya bidhaa zinazozalishwa au kuuzwa (Production and expenditure Approach) kwenye nchi katika wakati husika. Na bidhaa hizi sio tu Mchele na unga Bali mpaka intangible assets kama services kama huduma za kisheria, teknolojia, utabibu, utalii, na financial markets.Kipimo kipi kinatumika kupima utajiri wa mataifa, ???
Yes the economic trend post-covid 19 suggests thatNdugu yangu unataka kusema bila vita ya Ukraine mataifa ya G7 bado yangeingia kwenye matatizo makubwa ya uchumi kwa haraka kama ambayo inatokea leo, ???
Yes the economic trend post-covid 19 suggests that
No it's not true, ingekua pesa ni nyingi kuliko bidhaa basi kungetokea hyperinflation kama iliyotokea kipindi cha Great Economic Depression.Hebu nisaidie mkuu, hii kanuni inafanya kazi hadi kwa taifa kama Marekani, ???
Kwanini fedha ya Marekani ni nyingi kuliko bidhaa zilizopo sokoni, ???
Eeh mkuu we can a conduct a panel regression kwa nchi za G7 vis a vis na Russia tutaweza ona jinsi Gani uchumi tu ungeleekea huko bila hata Ukraine na Russia kupambana.Sawa mchumi, hivyo mfumuko wa bei na riba kufika 6% ilikuwa ni lazima itokee.
Of course most use GDP kwa kuangalia thamani ya bidhaa zinazozalishwa au kuuzwa (Production and expenditure Approach) kwenye nchi katika wakati husika. Na bidhaa hizi sio tu Mchele na unga Bali mpaka intangible assets kama services kama huduma za kisheria, teknolojia, utabibu, utalii, na financial markets.
Na ndio maana Marekani ina madeni almost 100% ya GDP lakini ndio taifa kubwa kiuchumi, ila pia Ina trade deficit maana inanunua kuliko kuuza but ipo juu bado? Sababu gani?? Stable financial sector. Hayo unayoita makaratasi au thamani hewa ndio actual inayoifanya US kuwa juu otherwise Ina madeni pengine kuliko nchi yoyote duniani na Ina negative trade balance kuliko nchi nyingi ila Bado inazikopesha na kuzipa msaada Kila siku.
Walitumia makadirio ya matukio yaliyopita ya Nchi ambazo ziliwekewa vikwazo,vilevile wali project Nchi nyingi zikiwemo za Europe zitafuata maagizo ya USA za kutaka Nchi kusitisha biashara na Russio jambo ambalo limekuwa against.Kweli kuna propaganda nyingi mno kwenye hii vita. Japo nachofahamu mimi ni kwamba hii vita imekuwa mbaya zaidi kiuchumi kuliko kijeshi. Mpaka sasa hakuna taifa kubwa barani Ulaya ambalo halijaumizwa na mfumuko wa bei au mdororo wa uchumi.
Ila kubwa ni kwamba mwaka 2022 taasisi kubwa za kifedha zilitoa utabiri kwamba uchumi wa Urusi (GDP) ungenguka kwa asilimia 12%, lakini baadaye wakabadilishwa takwimu za makadirio na kusema kwamba uchumi wa Urusi utaanguka kwa asilimia 2% hadi 3%.
Nachojiuliza nini kilitohea hadi wakaandika makadirio makubwa hivi lakini ghafla wakabadilisha takwimu. Wangebadilisha kutoka 12% hadi 10% ningeelewa, maana uchumi hupimwa kwa makadirio (Estimates), ila kutoka 12% hadi 3% ni parefu sana.
Hebu tujuzane zaidi.....
No it's not true, ingekua pesa ni nyingi kuliko bidhaa basi kungetokea hyperinflation kama iliyotokea kipindi cha Great Economic Depression.
I would request actual data to back this fact.
Walitumia makadirio ya matukio yaliyopita ya Nchi ambazo ziliwekewa vikwazo,vilevile wali project Nchi nyingi zikiwemo za Europe zitafuata maagizo ya USA za kutaka Nchi kusitisha biashara na Russio jambo ambalo limekuwa against.
"Ukitaka kuitawala Dunia hakikisha kwanza unaitawala Russia."Nitajibu bila takwimu labda badaye nikipata muda nitaweka.
Vikwazo vya magharibi za Nchi 30 tajiri zaidi dunini hazijafua dafu dhidi ya Russia masikini kwa sababau hizi.inasemwa kwamba uchumi wa dunia unaendeshwa kwa capital markets,but tukumbuke kuwa 100% hii capita market inategemea product markets/resources.
Karne ya 19 & 20 mataifa hayo tajiri yalizunguka dunia nzima yakipigana na wenyeji wa Nchi nyingine kutafuta rasilimali kwa ajili ya viwanda vyao.Leo katika karne hii bado wanazitafuta hizo rasilimali kwa njia tofauti tofauti na kwa ugumu zaidi kuliko wakati ule.Tukumbuke kuwa Russia pekee ki eneo ni zaidi ya mara 4 ya Nchi zote za Ulaya.
Na kitu kikubwa ukubwa huo wa kieneo wa Russia umeambatana na rasilimali zote muhimu unazozijua hapa Duniani.Russia ndio Nchi pekee Duniani tajiri kuliko Nchi yoyote chini ya jua.viwanda vya ulaya vyote vinategemea resources kutoka huko-kwa hali hiyo hata uweke vikwazo milioni lazima vitakurudia na ndicho kilicho tokea kwa Nchi zote za ulaya na USA.Ukisema uachane na Urusi utakwenda Nchi ipi kipata hizo resource and at what cost???.
Kuna watu hadi Leo wanadhani Adolf Hitler alikuwa fara kutaka kuiweka Urusi chini yake-jamaa alikuwa na akili aliona mbali miaka 100.
**Ukitaka kuitawala Dunia hakikisha kwanza unaitawala Russia.
"Ukitaka kuitawala Dunia hakikisha kwanza unaitawala Russia."
maneno haya yamenikumbusha kauli ya mwanadiplomasia wa kimarekani, alipata kusema maneno flani yakufurahisha sana,
alisema, "Who controls the Rimland rules Eurasia, who rules Eurasia controls the destinies of the world."
Rimland hapa ina maana ya zile nchi zinazoinguka USSR (kuanzia turkey-cyprus-greece, arab land, india, china hadi korea zote 2), and this was the basis of american policy post ww2 (cold war era),....
Nitajibu bila takwimu labda badaye nikipata muda nitaweka.
Vikwazo vya magharibi za Nchi 30 tajiri zaidi dunini hazijafua dafu dhidi ya Russia masikini kwa sababau hizi.inasemwa kwamba uchumi wa dunia unaendeshwa kwa capital markets,but tukumbuke kuwa 100% hii capita market inategemea product markets/resources.
Karne ya 19 & 20 mataifa hayo tajiri yalizunguka dunia nzima yakipigana na wenyeji wa Nchi nyingine kutafuta rasilimali kwa ajili ya viwanda vyao.Leo katika karne hii bado wanazitafuta hizo rasilimali kwa njia tofauti tofauti na kwa ugumu zaidi kuliko wakati ule.Tukumbuke kuwa Russia pekee ki eneo ni zaidi ya mara 4 ya Nchi zote za Ulaya.
Na kitu kikubwa ukubwa huo wa kieneo wa Russia umeambatana na rasilimali zote muhimu unazozijua hapa Duniani.Russia ndio Nchi pekee Duniani tajiri kuliko Nchi yoyote chini ya jua.viwanda vya ulaya vyote vinategemea resources kutoka huko-kwa hali hiyo hata uweke vikwazo milioni lazima vitakurudia na ndicho kilicho tokea kwa Nchi zote za ulaya na USA.Ukisema uachane na Urusi utakwenda Nchi ipi kipata hizo resource and at what cost???.
Kuna watu hadi Leo wanadhani Adolf Hitler alikuwa fara kutaka kuiweka Urusi chini yake-jamaa alikuwa na akili aliona mbali miaka 100.
**Ukitaka kuitawala Dunia hakikisha kwanza unaitawala Russia.
Gharama za kuzifata huko zilipo mpaka kuzifikisha kwao ni kubwa kuliko kuzifata za Urusi....Sana Sana wameziwekea baadhi ya 'vigingi' kama adhabu mfano 'price cap' kwenye mafuta ya Urusi pekee.Kwanini Ulaya hawakutaka kusitisha biashara na Urusi ilhali bidhaa wangeweza kuzipata kwingineko, ???