Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Yeye si ndio kila kitu , wanafata maelekezo yake. Hivi ile route ya Mpanda aliyoamuru ianze imeshaanza?
Jack of all trade, master of everything.
Kuiua fastjet ilikuwa ni kuiua Anytime cancelation airline indirect.Mshindani wa kibiashara anauwawa kwa wewe kuboresha huduma yako ili kumzidi yeye na si kumfunga jiwe kiunoni na kumtumbukiza bahari
Duh.. unataka waweke kama simba au chui? au ndege kama mwewe?Badilisheni Ile nembo ya TWIGA Kwenye hizo ndege ili MAMBO yaende sawa vinginevyo mtawatafuta WACHAWI bila kujua maana ya TWIGA....... sikuzote huyo mnyama anawakilisha ugoigoi,uzembe na ulofa
Sasa si unajua mtoto wako mwenyewe unampa kaupendeleo; lakini akiingia kwenye maisha hakuna kubebwa tena...Kuiua fastjet ilikuwa ni kuiua Anytime cancelation airline indirect.Mshindani wa kibiashara anauwawa kwa wewe kuboresha huduma yako ili kumzidi yeye na si kumfunga jiwe kiunoni na kumtumbukiza bahari
Kwa vile ameweka hela nyingi sana humo labda ni muhimu kwa yeye kufuatilia hadi departure?Yeye si ndio kila kitu , wanafata maelekezo yake. Hivi ile route ya Mpanda aliyoamuru ianze imeshaanza?
Jack of all trade, master of everything.
Na wakiondoa gu twiga gwa basha Mataka aliyemdushulua marinda Hadi Defao Hadi akalazwa, wasiweke mwenge, maana tutalala kwa huzuni as per Isaya 50: 11Badilisheni Ile nembo ya TWIGA Kwenye hizo ndege ili MAMBO yaende sawa vinginevyo mtawatafuta WACHAWI bila kujua maana ya TWIGA....... sikuzote huyo mnyama anawakilisha ugoigoi,uzembe na ulofa
Kandege skrepa ka Bob SambekiAtcl yuko kwenye ushindani na shirika gani la ndege hadi awe na huduma bora??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwewe angefaa zaidi...Duh.. unataka waweke kama simba au chui? au ndege kama mwewe?
Sasa ndo wameshajinyonga wenyewe na huyu incopentent asiyeweza kushindana anyhow akiondoka then wakakubali mshindani wa hadhi ya fastjet au 540 aingie kwenye soko la Tanzania ndo mazishi ya Atc yatakuwa yamefika rasmiSasa si unajua mtoto wako mwenyewe unampa kaupendeleo; lakini akiingia kwenye maisha hakuna kubebwa tena...
Tena wazo zuri labda mwenge maana unaangaza mbali na ni mojawapo ya alama za taifa...Na wakiondoa gu twiga gwa basha Mataka aliyemdushulua marinda Hadi Defao Hadi akalazwa, wasiweke mwenge, maana tutalala kwa huzuni as per Isaya 50: 11