Tumuombe Mungu tu huyu incompetent person azidi kuwa mzima yawezekana ameletwa na Mungu ili atuondolee hili jini linaloitwa ccmHuu mchezo pia umeingizwa kwenye kuibeba ccm ili ionekane inakubalika, matokeo yake ndio tunaona ccm isiyoweza kujenga hoja wala kushindana kisiasa zaidi ya kutegemea kupita bila kupingwa!
Jack Of all trades, Master Of none🤣Yeye si ndio kila kitu , wanafata maelekezo yake. Hivi ile route ya Mpanda aliyoamuru ianze imeshaanza?
Jack of all trade, master of everything.
Mungu anakuona kijana [emoji848]Badilisheni Ile nembo ya TWIGA Kwenye hizo ndege ili MAMBO yaende sawa vinginevyo mtawatafuta WACHAWI bila kujua maana ya TWIGA....... sikuzote huyo mnyama anawakilisha ugoigoi,uzembe na ulofa
Kwa kuwa anajua kila kitu,kiongozi wa malaika huyu.Tanzania tuna mambo mengi ya kuonesha duniani hapa. inasemekana binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, sasa mwanadamu wa kwanza kuongoza malaika anatarajiwa kutokea Tz.sasa sijui mambo mengine kama haya ya uendeshaji wa ATc tunakwama wapiKwa vile ameweka hela nyingi sana humo labda ni muhimu kwa yeye kufuatilia hadi departure?
Huyu MM amekaa zake huko Detroit anajifanya hajui tatizo ni malaika mkuuu mwenyeweAtcl yuko kwenye ushindani na shirika gani la ndege hadi awe na huduma bora??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani twiga sio ndege?[emoji16][emoji57][emoji57][emoji57][emoji53]Badilisheni Ile nembo ya TWIGA Kwenye hizo ndege ili MAMBO yaende sawa vinginevyo mtawatafuta WACHAWI bila kujua maana ya TWIGA....... sikuzote huyo mnyama anawakilisha ugoigoi,uzembe na ulofa
Swali zuri, tutajiwe ili mashirika mengine yakaige mfano.Nauliza, lini au kwa shirika lipi la umma Watanzania tuliweza?
Talk is cheap.
Waweke picha ya Magu...iendane na Slogan yake hapa kazi tu...huduma zitaboreka mara Mia Tisa itapendezaDuh.. unataka waweke kama simba au chui? au ndege kama mwewe?
Aisee ubarikiwe Kwa hili swali lako muruwaaa.Kati ya mambo yanatushinda Watanzania (inawezekana Waafrika wote), ni usimamizi na uendeshaji endelevu...
Mfano mdogo tu wa mradi mwepesi uliotushinda ni usimamizi wa yale mabasi wanayoyaita yanaenda kasi...
Huwa najiuliza, kama kamradi kadogo tu kama hako na ndio kwanza kapo sijui phase 1, tunataabika kukaendesha, vipi miradi mikubwa kama SGR na safari za ndege?