Mlichofanya ni sawa na kumuua mwanafunzi anaefanya vzr darasani ukiamini mwanao kilaza atachukua akili yake!Sasa si unajua mtoto wako mwenyewe unampa kaupendeleo; lakini akiingia kwenye maisha hakuna kubebwa tena...
Hapa ndio mnapomuharibu jamaa yenu yaani mnaongea kama hela anatoa mfukoni mwakeKwa vile ameweka hela nyingi sana humo labda ni muhimu kwa yeye kufuatilia hadi departure?
Duh! Nembo tu ndio tatizo..🙄🙄🙄Mwewe angefaa zaidi...
Ndiyo maana wenzetu wakenya wametumia nembo ya Simba Yangu enzi za ukoloni alkadhalika na waganda nao wametumia nembo ya cranes kama ishara ya kuona mbali(vision)
Tena wazo zuri labda mwenge maana unaangaza mbali na ni mojawapo ya alama za taifa...
Mkuu hata uingereza wanatumia alama ya Simba 3 kama nembo Yao nchi nzima hata Cameroon nao wanatumia nembo ya Simba ni kama America wanamtumia eagle (yaani kuona mbali zaidi).Duh! Nembo tu ndio tatizo..🙄🙄🙄
Mkuu una Imani kali Sana ila fahamu pia:Mkuu hata uingereza wanatumia alama ya Simba 3 kama nembo Yao nchi nzima hata Cameroon nao wanatumia nembo ya Simba ni kama America wanamtumia eagle (yaani kuona mbali zaidi).
Mkuu umeona nchi gani wanatumia nembo ya TWIGA? Sasa kuna tofauti gani ya TWIGA na KINYONGA?
Tutaweza sasa maana tunaongozwa na master of everythingNauliza, lini au kwa shirika lipi la umma Watanzania tuliweza?
Talk is cheap.
Huo mwenge ni uchuro mwingine pia.Tena wazo zuri labda mwenge maana unaangaza mbali na ni mojawapo ya alama za taifa...
Hili ni swali ambalo linahitaji kujibiwa kwa usahihi, kwa haraka na kwa umakini. Ni kitu gani ambacho Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linahitaji kufanyiwa na Rais Magufuli ili liweze kutengeneza hadhi inayostahili shirika la kitaifa? Huku ndiko ninakokuita kubebeka. Hadi hivi sasa Magufuli amelipa pumzi ya uhai na kuliokoa kama mtu aliyeopolewa majini baada ya kuzama na watu wakajitahi kumpa CPR na hatimaye kuona anakohoa maji na kuanza kupumua tena. Magufuli alifanya hivyo lakini pia akaenda mbali zaidi; akalinyanyua na kulipa zana zote zinazohitajika ili liweze kuanza kujiendesha kama shirika la kisasa.
Bahati mbaya, bado kuna malalamiko na manung’uniko yanayohusiana na huduma (service). Kwa kampuni ya ndege huduma ni jambo kubwa na muhimu zaidi. Huduma ya ndege inapimwa kwa ufanisi (efficiency) na usalama wake (safety). Shirika la ndege ambalo halina ufanisi au usalama watu wataliogopa, kulichukia na kulibeza. Na hatimaye linaweza kufa – na kwa kweli linastahili kufa. Mashirika yote ya ndege ambayo yameweza kufanikiwa baada ya muda mrefu yameweza kufanya hivyo kwa kuhakikisha mambo hayo mawili yako ya kiwango cha juu kabisa.
Sasa hivi hatujapata tatizo kubwa lenye kutishia usalama wa ndege zetu. Suala kubwa la sasa hivi ni la huduma. Hapa ndio hoja ilipo na Bw. Kamwele anahitaji kutoa jibu la usahihi, la haraka na makini: wanataka Magufuli alibebe shiriki hili vipi; kwa mbeleko ya sufu?
Mkuu,nakupa mfano mmoja tu kukuonyesha ATCL ni dude la kuleta hasara na aibu..
Ona juzi Magufuli ameitisha Ndege ya ATCL Airbus inayochukua abiria 150+ imfate yeye pale Chato wakati anarejea Dar kutoka likizo..!!
Hawakupanda hata watu 20 mle ukichanganya na wahudumu wa Ndege..
Hapo amedisturb route ngapi za kubeba abiria wa ATCL??
Mind u.. na serikali ina Ndege zake ambazo zingeweza jumfata huko Chato.
Naomba nijibu.
Kwa vile ameweka hela nyingi sana humo labda ni muhimu kwa yeye kufuatilia hadi departure?
Tena wazo zuri labda mwenge maana unaangaza mbali na ni mojawapo ya alama za taifa...
Hapo ndio mzizi wa tatizo!Atcl yuko kwenye ushindani na shirika gani la ndege hadi awe na huduma bora??
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE SANA!!Kuisema maiti, badala ya daktari anayetaka kuitibu maiti nako ni kuikosea heshima maiti na kumdharau huyo daktari kwamba hawezi kufundishika.