Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Humsikii katibu mkuu wa chama. Sijui kama yupo
Humsikii makamu mwenyekit wa chama.
Himsikii katibu mwenezi
Humsikii mwenyekiti wa uvccm
Huwasikii viongoiz wengine wa jumuia za chama.
Wenheviti wa mikoa na wilaya ni kama wajifuta chamani.
Chawa Makonda nae ni kama yupo mateka.
Je, amesusiwa ???????
Ila wapo masheikh 🤣🤣🤣, wanajibu kila hoja wao kwa niaba ya hao wote uliowataja. Mambo ya kijinga kabisaaa tunayashuhudia. Kazi tunayo! Tena si ndogo. Mama na mwanae wanarun show. Labda na yule Muhindi mnufaika.Humsikii katibu mkuu wa chama. Sijui kama yupo
Humsikii makamu mwenyekit wa chama.
Himsikii katibu mwenezi
Humsikii mwenyekiti wa uvccm
Huwasikii viongoiz wengine wa jumuia za chama.
Wenheviti wa mikoa na wilaya ni kama wajifuta chamani.
Chawa Makonda nae ni kama yupo mateka.
Je, amesusiwa ???????
Wakati nakusoma, nikawa nawaza; kwa vile umetumia "wingi wao", na siyo umoja, kama Samia mwenyeweHow so? Who are you?
"who are you?" Wanataka msiwapigie kelele Ili wakiwa wanakula wale vizuri wakijitanua. Wamepoteana na kuparaganyika mazima
Hao wote uliowataja ni wavizia fursa tu hao.Humsikii katibu mkuu wa chama. Sijui kama yupo
Humsikii makamu mwenyekit wa chama.
Himsikii katibu mwenezi
Humsikii mwenyekiti wa uvccm
Huwasikii viongoiz wengine wa jumuia za chama.
Wenheviti wa mikoa na wilaya ni kama wajifuta chamani.
Chawa Makonda nae ni kama yupo mateka.
Je, amesusiwa ???????