misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
😄 🤣Na lenyewe lisivyokuwa na akili ya kuchuja likaenda kusoma hivyo hivyo!
Kasuku
😄 🤣Na lenyewe lisivyokuwa na akili ya kuchuja likaenda kusoma hivyo hivyo!
Huyu bila ya kuondolewa kwa nguvu, haondoki.Huyu ana dalili zote za kuja kubadili katiba kuondoa ukomo wa vipindi...
Hivi unadhani yale mauaji yamewafurahisha?Humsikii katibu mkuu wa chama. Sijui kama yupo
Humsikii makamu mwenyekit wa chama.
Himsikii katibu mwenezi
Humsikii mwenyekiti wa uvccm
Huwasikii viongoiz wengine wa jumuia za chama.
Wenheviti wa mikoa na wilaya ni kama wajifuta chamani.
Chawa Makonda nae ni kama yupo mateka.
Je, amesusiwa ???????
sasa tuko nao hadi waite maji mmah"who are you?" Wanataka msiwapigie kelele Ili wakiwa wanakula wale vizuri wakijitanua. Wamepoteana na kuparaganyika mazima