PostGE2025 Swali la Ugomvi: Kwani Mmepaniki nini Wenzetu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hili jambo linashangaza sana kwa kweli.

Ni kivipi walitegemea wapongezwe kwa kuua wananchi wao wenyewe? Wahalifu au sio wahalifu ni sheria ya wapi inaruhusu kuua?

Yaani mzungu aseme hongera Tanzania kwa kuua watu wako mwenyewe. Dunia ya leo uue watu vile wenye akili wakae kimya? Watakao kaa kimya ni wahuni wenzenu wa kichina na kiarabu tu.

Wamepaniki nini? Walitegemea aina gani ya reaction kutoka ndani na nje?
 
Huwezi kutetea huu uhuni ukiwa na akili timamu. Conscious yako itakusuta na kukusumbua sana. Unaweza kushindwa kulala. Pesa sio kila kitu.

Hivi hawa machawa hakuna ndugu, wapendwa wao walioathirika au wao wanajari ubinafsi, pesa, vyeo, umaarufu tu?
Well said
 
N
Wamemtengenezea hotuba bomu na kumpa script mwisho wanataka wananchi tu walianzishe wamgeuke
Jana niliona sura ya lukuvi akismile.
Nikanotice kitu.
Hata yule nchimbi, kajikaushaa mama hayupo vile

Kuna kitu wanakiandaa.
Ndo maana wameukacha na kukausha
 
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa Mapinduzi ya nguvu ya umma.

Mmendelea kutoa vitisho na majigambo kuwa nyinyi pekee ndio mmeumbwa kuwatawala Watanzania. Kuwatawala kwa visasi na risasi. Mmeonja damu sasa mmeongezeka hamu. Mmekula nyama ya binadamu na dasa hamna mwiko.

Lakini nyinyi na makuwadi wenu wa uovu mmepaniki!! hamuachi matamko, vitisho na majigambo. Mnatishwa nini na mna risasi na vifaru? Mnakuja na hoja za kidini na zinapuuzwa hamuelewi. Mnatishia
Kuua tena lakini nyinyi ndio mnaogopa.

Mnawaogopa Watanzania? Mmepaniki, hamjielewi. Hamkubali kuachwa? Mnaleta figisu mapenzi yalipochuja. Mmepaniki nini hasa hata maofisini mnakaa kwa kunyemelea...

How so? Who are you?
Bi Nyaminyonyo AKA who are you?
 
Wakati nakusoma, nikawa nawaza; kwa vile umetumia "wingi wao", na siyo umoja, kama Samia mwenyewe

Hawa akina Mwigulu Nchemba, Wasira Masato Stephen; akina Emmanuel Nchimbi na wengi wote wanaoshikilia madaraka ya uteuliwa wao katika hii serikali ya mchongo. Si wote hawa wameamua waziwazi kabisa kushiriki yote hayo yanayosimamiwa na Samia, kutuweka chini ya utawala wao kwa mabavu?

Sasa labda huko mbele ya safari tutaanza kuwa na mjadala wa hawa wacheza mechi dhidi ya waTanzania wenzao. Maana kama siyo ushiriki wa hawa huyu Samia, na hata kwa ushirikiano na Genge lake ingewawia vigumu zaidi kutudhalilisha kiasi hiki wanachofanya sasa hivi

Kuhusu Uoga wa Samia, hili linampa wakati mgumu sana wakati huu.. Hata ajipe ubabe, nchi imekwisha mkataa huyu.
Kitu kinachomuumiza Samia ni kutambua kuwa wananchi wamemkataa wakiwemo askari polisi na wanajeshi wa kawaida!
 
Wakati nakusoma, nikawa nawaza; kwa vile umetumia "wingi wao", na siyo umoja, kama Samia mwenyewe

Hawa akina Mwigulu Nchemba, Wasira Masato Stephen; akina Emmanuel Nchimbi na wengi wote wanaoshikilia madaraka ya uteuliwa wao katika hii serikali ya mchongo. Si wote hawa wameamua waziwazi kabisa kushiriki yote hayo yanayosimamiwa na Samia, kutuweka chini ya utawala wao kwa mabavu?

Sasa labda huko mbele ya safari tutaanza kuwa na mjadala wa hawa wacheza mechi dhidi ya waTanzania wenzao. Maana kama siyo ushiriki wa hawa huyu Samia, na hata kwa ushirikiano na Genge lake ingewawia vigumu zaidi kutudhalilisha kiasi hiki wanachofanya sasa hivi

Kuhusu Uoga wa Samia, hili linampa wakati mgumu sana wakati huu.. Hata ajipe ubabe, nchi imekwisha mkataa huyu.
Hatuwezi kuwatenganisha hawa wote; Samia ni mmoja wao na kidogo wao lakini wote lao ni moja. Hitler hakuwa peke yake.
 
Hii term “Sovereign country” linatumika vibaya sana nchi hii.

Pale uongozi institute waweke somo la civics lile la darasa la 4-6, na iwe lazima kwa kila kiongozi yoyote na machawa wake kupita pale.

Nchi kuwa sovereign inahusiana vipi na kutokukemewa na kuchukuliwa hatua ukiua wananchi wako?
 
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa Mapinduzi ya nguvu ya umma.
Na kama hiyo haitoshi; anakuamuru kabisa "umvumilie hadi hapo atakapomaliza muda wake ataondoka"!

Lakini tunaujuwa ulaghai wa Samia; maana yake ya kuondoka ni hadi hapo atakapolazimishwa kwa njia zote ziwezekanavyo kuondoka (hata kesho).
 
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa Mapinduzi ya nguvu ya umma.

Mmendelea kutoa vitisho na majigambo kuwa nyinyi pekee ndio mmeumbwa kuwatawala Watanzania. Kuwatawala kwa visasi na risasi. Mmeonja damu sasa mmeongezeka hamu. Mmekula nyama ya binadamu na dasa hamna mwiko.

Lakini nyinyi na makuwadi wenu wa uovu mmepaniki!! hamuachi matamko, vitisho na majigambo. Mnatishwa nini na mna risasi na vifaru? Mnakuja na hoja za kidini na zinapuuzwa hamuelewi. Mnatishia
Kuua tena lakini nyinyi ndio mnaogopa.

Mnawaogopa Watanzania? Mmepaniki, hamjielewi. Hamkubali kuachwa? Mnaleta figisu mapenzi yalipochuja. Mmepaniki nini hasa hata maofisini mnakaa kwa kunyemelea...

How so? Who a
Na ninachofurahi hasa ni kuona UVCCM wamepoteana huku mtaani. Polisisieme nao hatuwaoni mtaani na miguo yao, sijui wakitoka kazini wanaingia chooni kubadiklisha?
 
Humsikii katibu mkuu wa chama. Sijui kama yupo

Humsikii makamu mwenyekit wa chama.

Himsikii katibu mwenezi

Humsikii mwenyekiti wa uvccm
Huwasikii viongoiz wengine wa jumuia za chama.

Wenheviti wa mikoa na wilaya ni kama wajifuta chamani.

Chawa Makonda nae ni kama yupo mateka.

Je, amesusiwa ???????
Kuna ukimya umetanda. Anatoka mmoja mmoja, alianza Mwigulu kutest joto. Wengine wote wanasikilizia ili msije mkawajumuisha katika mashtaka yenu. Hali ikitulia mtawasikia.

Samia angekuwa na akili angewalazimisha wote watoke wamtetee ili awajue masnitch ni kina nani.
 
Na kama hiyo haitoshi; anakuamuru kabisa "umvumilie hadi hapo atakapomaliza muda wake ataondoka"!

Lakini tunaujuwa ulaghai wa Samia; maana yake ya kuondoka ni hadi hapo atakapolazimishwa kwa njia zote ziwezekanavyo kuondoka (hata kesho).
Huyu ana dalili zote za kuja kubadili katiba kuondoa ukomo wa vipindi...
 
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa Mapinduzi ya nguvu ya umma.

Mmendelea kutoa vitisho na majigambo kuwa nyinyi pekee ndio mmeumbwa kuwatawala Watanzania. Kuwatawala kwa visasi na risasi. Mmeonja damu sasa mmeongezeka hamu. Mmekula nyama ya binadamu na dasa hamna mwiko.

Lakini nyinyi na makuwadi wenu wa uovu mmepaniki!! hamuachi matamko, vitisho na majigambo. Mnatishwa nini na mna risasi na vifaru? Mnakuja na hoja za kidini na zinapuuzwa hamuelewi. Mnatishia
Kuua tena lakini nyinyi ndio mnaogopa.

Mnawaogopa Watanzania? Mmepaniki, hamjielewi. Hamkubali kuachwa? Mnaleta figisu mapenzi yalipochuja. Mmepaniki nini hasa hata maofisini mnakaa kwa kunyemelea...

How so? Who are you?
Ha ha ha.......!
Who are you?
 
Kwa sasa hawaungwi tena mkono na wananchi walio wengi! Isipokuwa chawa wao wachache wachumia tumbo, na pia wale waliojitoa ufahamu. Tegemeo lao kuu linalowaweka madarakani ni vyombo vya dola, kupitia vitisho, utekaji, utesaji, kufunga, na mauaji.

Ni mambo ya aibu kabisa haya.
Mtu kama Cassypool anategemewa kusafisha Presidential potrait kwa watu kmaninah hii nchi....
 
Back
Top Bottom