PostGE2025 Swali la Ugomvi: Kwani Mmepaniki nini Wenzetu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hili jambo linashangaza sana kwa kweli.

Ni kivipi walitegemea wapongezwe kwa kuua wananchi wao wenyewe? Wahalifu au sio wahalifu ni sheria ya wapi inaruhusu kuua?

Yaani mzungu aseme hongera Tanzania kwa kuua watu wako mwenyewe. Dunia ya leo uue watu vile wenye akili wakae kimya? Watakao kaa kimya ni wahuni wenzenu wa kichina na kiarabu tu.

Wamepaniki nini? Walitegemea aina gani ya reaction kutoka ndani na nje?
 
Huwezi kutetea huu uhuni ukiwa na akili timamu. Conscious yako itakusuta na kukusumbua sana. Unaweza kushindwa kulala. Pesa sio kila kitu.

Hivi hawa machawa hakuna ndugu, wapendwa wao walioathirika au wao wanajari ubinafsi, pesa, vyeo, umaarufu tu?
Well said
 
N
Wamemtengenezea hotuba bomu na kumpa script mwisho wanataka wananchi tu walianzishe wamgeuke
Jana niliona sura ya lukuvi akismile.
Nikanotice kitu.
Hata yule nchimbi, kajikaushaa mama hayupo vile

Kuna kitu wanakiandaa.
Ndo maana wameukacha na kukausha
 
Bi Nyaminyonyo AKA who are you?
 
Kitu kinachomuumiza Samia ni kutambua kuwa wananchi wamemkataa wakiwemo askari polisi na wanajeshi wa kawaida!
 
Hatuwezi kuwatenganisha hawa wote; Samia ni mmoja wao na kidogo wao lakini wote lao ni moja. Hitler hakuwa peke yake.
 
Hii term “Sovereign country” linatumika vibaya sana nchi hii.


Pale uongozi institute waweke somo la civics lile la darasa la 4-6, na iwe lazima kwa kila kiongozi yoyote na machawa wake kupita pale.

Nchi kuwa sovereign inahusiana vipi na kutokukemewa na kuchukuliwa hatua ukiua wananchi wako?
 
Na kama hiyo haitoshi; anakuamuru kabisa "umvumilie hadi hapo atakapomaliza muda wake ataondoka"!

Lakini tunaujuwa ulaghai wa Samia; maana yake ya kuondoka ni hadi hapo atakapolazimishwa kwa njia zote ziwezekanavyo kuondoka (hata kesho).
 
Na ninachofurahi hasa ni kuona UVCCM wamepoteana huku mtaani. Polisisieme nao hatuwaoni mtaani na miguo yao, sijui wakitoka kazini wanaingia chooni kubadiklisha?
 
Kuna ukimya umetanda. Anatoka mmoja mmoja, alianza Mwigulu kutest joto. Wengine wote wanasikilizia ili msije mkawajumuisha katika mashtaka yenu. Hali ikitulia mtawasikia.

Samia angekuwa na akili angewalazimisha wote watoke wamtetee ili awajue masnitch ni kina nani.
 
Na kama hiyo haitoshi; anakuamuru kabisa "umvumilie hadi hapo atakapomaliza muda wake ataondoka"!

Lakini tunaujuwa ulaghai wa Samia; maana yake ya kuondoka ni hadi hapo atakapolazimishwa kwa njia zote ziwezekanavyo kuondoka (hata kesho).
Huyu ana dalili zote za kuja kubadili katiba kuondoa ukomo wa vipindi...
 
Ha ha ha.......!
Who are you?
 
Mtu kama Cassypool anategemewa kusafisha Presidential potrait kwa watu kmaninah hii nchi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…