Mwanza kumejaa Matapeli kwa 98%.Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja??
Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana.
Unaweza kumiliki kiwanja chako chenye ukubwa kuanzia 400m² katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanza.
Viwanja vinapatikana
Buswelu,Ilalila,Masemele,Isanzu,Kassa zoo,Kanyama,Kona ya kayenze,Kisesa,kitumba,Kishili,Kona ya fela,fumagira n.k
Unaweza pia kununua kwa kulipia kidogokidogo kadri ya bajeti yako. Uaminifu ni 100%
Kwa mawasiliano nipigie kupitia 0684288417
Tupe uzoefu kaka.Mwanza kumejaa Matapeli kwa 98%.
Watu wasijichanganye na hizi hadithi.
Fafanua tusije Jichanganya MkuuMwanza kumejaa Matapeli kwa 98%.
Watu wasijichanganye na hizi hadithi.
Sina cha kufafanua.Fafanua tusije Jichanganya Mkuu
Pole sana,endelea kubwabwaja huku muda unaenda. Siku ukiamka utakuja kujua ulikawia.Sina cha kufafanua.
Kama hutaji kutapeliwa Mwanza, nunua kiwanja kwa mtu unayemjua au kupitia Halmashauri.
Utapeli upo hata kama,Pole sana,endelea kubwabwaja huku muda unaenda. Siku ukiamka utakuja kujua ulikawia.
Sisi ni kampuni linalotambulika na limesajiliwa kwa mjibu wa sheria na ukitaka kununua baada ya kuridhika na kiwanja,unanunua na kusainishwa chini ya uongozi na hata Kama una mwanasheria wako unakuja naye.
Usikariri ndugu!
Kwamba wewe unayefanya udalali ndio una hela??😀😀 Ukosefu wa hela ni changamoto kubwa Sana,kila Jambo unawaza kuibiwa.Wakati mwingine unapaswa kufikria mafikrio chanya kila wakati.
Taja viwanja vyako viko wapi na ofisi iko wapo?Njoo nikuuzie viwanja vyangu mwenyewe.Acha kukariri
Unaweza kujenga,lakini eneo lote linaweza kumalizwa na nyumba tu kutegemeana na ramani yako.Kwa ushauri ni Bora ukapata eneo kubwa zaidi ambalo utajenga nyumba ikaonekana na fence ikapumua vizuri.Vyumba vinne kwa ramani ya kisasa ni nyumba kubwa kwenye kiwanja Kama hicho ni kuinyima muonekano wa kimandhari.🙏🙏M² 400 naweza kujenga nyumba ya vyumba vinne na kuzungusha nyumba yote fence..?
Ok.. Nadhani inatakiwa kiwanja kianzie meter square 700 na kuendelea ili kusimamisha nyumba ya kisasa na uzio/fensi yakeUnaweza kujenga,lakini eneo lote linaweza kumalizwa na nyumba tu kutegemeana na ramani yako.Kwa ushauri ni Bora ukapata eneo kubwa zaidi ambalo utajenga nyumba ikaonekana na fence ikapumua vizuri.Vyumba vinne kwa ramani ya kisasa ni nyumba kubwa kwenye kiwanja Kama hicho ni kuinyima muonekano wa kimandhari.🙏🙏