Swali la wiki

Swali la wiki

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Hivi kweli kwa mpira huu unaochezwa hapa kwenye LIGI KUU TZ, je tutaweza kupiga hatua kimataifa japo hata angalau siku moja tukaweza kushiriki WORLD CUP?
 
Youngsharo grow up....to bigsharo ofcoz.jibu langu ni hapana.ps..naona umeleta kakipima joto kako...tupe percentage mwisho
 
Youngsharo grow up....to bigsharo ofcoz.jibu langu ni hapana.ps..naona umeleta kakipima joto kako...tupe percentage mwisho

Ok thanks alot LINDAIKEJI ngoja tucheck ideas za wana wengine zinaweza zikawa tofauti.
 
1. Tuendelea kuwakuza vyema bila kuwapa pressure vijana wote walio katka 1st eleven kama msuva, mkude, domayo, manyika jr, isihaka, telela, atupele green n.k ndani ya club zetu.

2. Ni mda wa klabu zetu kuwaamini vijana wa timu zao za vijana na kuanza kuwa intergrate taratibu katka 1st eleven, huku wazee kama ivo, mrwanda, nditi n.k wakiwa wanawafundsha baadhi ya vitu. Na kuacha kusajili wauza matikiti wa ng'ambo.

3. Kuwaamisha vijana kuwa katika mpira, hakuna kitu kinachoitwa "uchawi" Hii itawafanya wajitume kwa moyo wote wakiwa uwanjani.

4. Pia tuwatengeneze kina Samata wetu wengi, watakaokuwa wanatuwakilisha vyema ulaya.

Ninavyoona tukiyafata yote hayo, Urusi 2018 hii hapa.
 
kwa miundombinu ya namna hii...bado sana..
IMG_0218.JPG

uwanja+mbovu.JPG
 
Jibu ni ndio endapo world cup haitakua na mchujo, iwe mataifa YOTE yanashiriki bila kupita mchujo wowote
 
Inawezekana kama tu miiko ya kufika huko ikizingatiwa...
 
kwa mbinu hizi hizi kwa ushabiki wa kijinga kama huu na marefa kupigwa kama hivi hatufiki popote
 
nimeshasema na ninarudia tene kusema...............BONGO HAKUNA SOCCER KUNA KABUMBU, so wacha tuendelee
 
Mpira sio fani yetu.

Viongozi wa mpira wa Tanganyika hawapatikani sehemu yeyote ile zaidi ya hapa,yaani tunaongoza mpira kivyetu vyetu tu.
 
1. Tuendelea kuwakuza vyema bila kuwapa pressure vijana wote walio katka 1st eleven kama msuva, mkude, domayo, manyika jr, isihaka, telela, atupele green n.k ndani ya club zetu.

2. Ni mda wa klabu zetu kuwaamini vijana wa timu zao za vijana na kuanza kuwa intergrate taratibu katka 1st eleven, huku wazee kama ivo, mrwanda, nditi n.k wakiwa wanawafundsha baadhi ya vitu. Na kuacha kusajili wauza matikiti wa ng'ambo.

3. Kuwaamisha vijana kuwa katika mpira, hakuna kitu kinachoitwa "uchawi" Hii itawafanya wajitume kwa moyo wote wakiwa uwanjani.

4. Pia tuwatengeneze kina Samata wetu wengi, watakaokuwa wanatuwakilisha vyema ulaya.

Ninavyoona tukiyafata yote hayo, Urusi 2018 hii hapa.

Mkuu sembo umejitahidi sana kufafanua japo jibu la swali la Mkuu mleta uzi ni NDIYO AU HAPANA. Aidha jibu la swali lake analo yeye mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom