youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hivi kweli kwa mpira huu unaochezwa hapa kwenye LIGI KUU TZ, je tutaweza kupiga hatua kimataifa japo hata angalau siku moja tukaweza kushiriki WORLD CUP?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Youngsharo grow up....to bigsharo ofcoz.jibu langu ni hapana.ps..naona umeleta kakipima joto kako...tupe percentage mwisho
1. Tuendelea kuwakuza vyema bila kuwapa pressure vijana wote walio katka 1st eleven kama msuva, mkude, domayo, manyika jr, isihaka, telela, atupele green n.k ndani ya club zetu.
2. Ni mda wa klabu zetu kuwaamini vijana wa timu zao za vijana na kuanza kuwa intergrate taratibu katka 1st eleven, huku wazee kama ivo, mrwanda, nditi n.k wakiwa wanawafundsha baadhi ya vitu. Na kuacha kusajili wauza matikiti wa ng'ambo.
3. Kuwaamisha vijana kuwa katika mpira, hakuna kitu kinachoitwa "uchawi" Hii itawafanya wajitume kwa moyo wote wakiwa uwanjani.
4. Pia tuwatengeneze kina Samata wetu wengi, watakaokuwa wanatuwakilisha vyema ulaya.
Ninavyoona tukiyafata yote hayo, Urusi 2018 hii hapa.