Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawaelewi hiliIt will be system failure , ni kama ccm kumteka mwana ccm
Unakejeli kwa kuwa uko upande wa kuuza mapapai na matikiti kudondoka ?Wametekwa na kupotezwa Ben Saanane, huyu mzee Kibao, kuna makamanda kibao hawajapatikana mpaka sasa.
Mlichobakiza ni kulalama huko X na JamiiForums.
Je, siku Chairman akitekwa na kupotezwa?
Duh mipasho tena🤔wakati huo wewe unatangatanga na kuzurura hovyo hovyo bila uelekeo right huko unakonikuta, right?
katoe lock basi na kisungura ndugu mwalimu ndio usiwe unababaika na vitu vidogo vidogo kama chairman wa kile chama 🐒
ndio nini hiyo gentleman 🐒Duh mipasho tena🤔
Atatekwa mama yakoAtekwe tu ,miaka 30 kwenye siasa impact hakuna
Kazi kuzungusha macho tu
DJ hana kitu cha kuoffeer akitekwa , zaidi Meku atasumbua watekaji kwa kuomba omba mbege tu!
Siku ile kule Dom Dj form 4b failure alilewa chakari pombe za ruzuku ya kodi za walalahoi akapigwa na mchepuko Joyce wakati wa kugombea pombe, akaanguka na kuumia, bila aibu akaja kwenye public akasema kuwa kavamiwa na majambazi!!
Huyu Mzee umteke wa nini sasa?
Ccm oyeee!!
Aisee hii noma, yaani bongo tuko watu 60 milioni sote wajinga tunaongoza Afrika, shime shime cdm tupambane, tuandamane tusikubali kuwa wajinga.Wabongo tunabofoa sana kwenye kustick on point, hata kama ni kweli is it relevant kwa hii thread? Jijudge mwenyewe
View attachment 3094049
Aisee hii noma, yaani bongo tuko watu 60 milioni sote wajinga tunaongoza Afrika, shime shime cdm tupambane, tuandamane tusikubali kuwa wajinga.
Am sorry brother. Nilicomment bila kufikiria, kuna saa napoteza majira! Dish linayumba tangu juzi Taifa Stars iliposhinda kimazabe naweweseka tu!!Hii ndio relevant? Hope wewe sio memkwa