Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

mbona hata kama wanaenda msikitini ni hivohivo
 
Aisee hiii ni kweli...tunapenda kuchafua hali ya hewa, 😅😅😅😅😅
 
Mkienda msikitikini mnaongozana na waume zenu?
 
Nashukuru katika hao Wanaume asilimia chache uliowataja, nami ni mmoja wao

Kwa kweli najitahidi kutembea naye, hata akiwa Mjamzito wa miezi 9

Japo huwa nachukia mkienda Dukani kufanya shopping, mnaweza mkakaa hata masaa mawili ama matatu

Anachagua kile, anarudisha.

Anakuja kukuuliza, hivi hili wigi nikishonea nitapendeza na nguo ile..

Au hii raba nikivaa na ile jeans nitapendeza kwenye mtoko wa Jioni 🙌
 
Mkuu nikujitoa tu ukweli hatuendani kabisa na wenzetu Mimi Huwa nikifika sokono namwambia utanikuta hapa kama naagiza kinywaji haya. Maana utakereka akianza kununua utafikiri wanaungovi baraa tupu.
 
Kuongozan ni kama kujidai kwamba huyu ni wangu nampendaaa,nawalinganishia ulimwengu mzima nampenda,kumbe kuna jina jimaa linakula bureee
 
Mkuu nikujitoa tu ukweli hatuendani kabisa na wenzetu Mimi Huwa nikifika sokono namwambia utanikuta hapa kama naagiza kinywaji haya. Maana utakereka akianza kununua utafikiri wanaungovi baraa tupu.
Yaani huwa hawajali muda kabisa

Haiwezekani shopping ya dakika 40 ifanyike Kwa masaa 3 ama zaidi

Ukitaka akununie mwambie tunachelewa, tuondoke 🙌
 
Hivi inakuaje watu upendo umeshakufa ila bado wanaishi pamoja🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…