900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
mbona hata kama wanaenda msikitini ni hivohivoNikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke wake mbali Kwa kisingizio unatembea pole pole.View attachment 3132672