Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Nampata sana. Tena mkipendana sana hadharani ni kama tangazo la vita kwa wasiopendana. Walio na migogoro ya ndoa hasa wanawake hawapendi kuona wenzao wanaenjoy. Wako radhi hata watumie ushirikina kuwaharibu.
Afu hili sijui kwanini linatokea sana kuna jirani yangu hapa alikiwasha kisa tu jirani yake wanaelewana na mwenza wake
 
Utatembeaje pamoja na mwanamke mwenye matege ya mikono🤣🤣?(jokes not serious).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…