Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Nampata sana. Tena mkipendana sana hadharani ni kama tangazo la vita kwa wasiopendana. Walio na migogoro ya ndoa hasa wanawake hawapendi kuona wenzao wanaenjoy. Wako radhi hata watumie ushirikina kuwaharibu.
Afu hili sijui kwanini linatokea sana kuna jirani yangu hapa alikiwasha kisa tu jirani yake wanaelewana na mwenza wake
 
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke wake mbali Kwa kisingizio unatembea pole pole.View attachment 3132672
Utatembeaje pamoja na mwanamke mwenye matege ya mikono🤣🤣?(jokes not serious).
 
Back
Top Bottom