Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ukikaa hapo kuwasikiliza unaweza kuumbuka MkuuLkn tuliwachagua wenyewe ni kwendana nao hivyo hivyo kadiri inavyowezekana
Ni bora kutembea mbali naye ili akiropoka isijulikane anamuambia nani maana nawe unakuwa umekaza macho mbele watakaomsikia watajua zimemfyatuka kichwani